Wataalam wa kuunda incubator

Wataalam wa kuunda incubator

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,640
Wataalamu wenzangu na wajasiriamali wa kiteknolojia,ambao mnajihusisha na uundaji wa mashine za kuangulia vifaranga vya ndege.

bila shaka mtakuwa mnatambua ulazima wa ufungaji kifaa kinacho control kiwango cha joto katika mashine hizo,kwa utaalamu wangu nimefanikiwa kuunda kifaa ambacho kinafanya kazi kwa mfumo wa kidigitali ambacho kitakuwa msaada mkubwa katika utengenezaji wa mashine za uanguaji vifaranga zenye ubora.

kifaa hiki ni rahisi kukupata pia kukitumia,vile vile hakina usumbufu wa kutafuta sensor,kifaa hiki kimekamilika kikiwa na kila kitu.

Unacho hitaji ni kufunga feni zako na hita zako tu.

Kinatumia mfumo wa logic hivyo kipo thabiti katika ufanyaji wake wa kazi.

Karibuni tushirikiane katika uboreshaji wa huduma tunazo zitoa katika jimii yetu.

FEATURES ZAKE.

1.Kinawasha heater automatic pale joto linaposhuka chini ya kiwango kinacho takiwa.
2.kinazima heater pale joto linapo fikia kiwango kinacho takiwa(kinauwezo wa kumeintain joto husika kwa kiwango cha uhakika wa silimia 99)
3.Feni za kupooza zitajiwasha automatic kama joto litavuka kiwango ambacho kinacho takiwa kutegemeana na ulivyo set!
Kina LCD screen hivyo unaweza kuona mwenendo mzima wa kupanda au kushuka kwa joto kupitia screen hiyo.

Zilivyo kwa ndani
24052015(005).jpg

Zikiwa zimekamilika
24052015(007).jpg

Features zake
IMG_20150507_105145.jpg


0657115587
 
Mimi nahitaji incubator zenye kifaa hiki. Nipe quotations kwa size mbalimbali
 
Mimi nahitaji incubator zenye kifaa hiki. Nipe quotations kwa size mbalimbali

Mii naunda kifaa hiki tu,siundi incubator!

Kwa ikfaa hiki kinaweza kubeba taa za watt 100 kumi na tano
na feni za cooling zaidi ya ishirini.

features zake nyingine hizo hapo juu!
 
Back
Top Bottom