Nina tecno p3 ila kwa bahati mbaya kuna mtu alijaribu kuunlock simu ikajilock,nimejaribu kireset kwa kutumia utaratibu wa kawaida wa kuhold button ya kuzima na kuongeza sauti ili nireset but imegoma.
Naomba msaada kwa mtu anayejua jinsi ya kuflash kwa kutumia kompyuta anisaidie