Wataalam wa iphone

Wataalam wa iphone

mankachara

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
6,161
Reaction score
3,496
Wakuu nimegaiwa iPhone 3G na my friend, hivi nitumie njia gani ili niweze kuingiza whatsapp
 
jisajili uwe na apple id utaweza kudownload kirahisi vinginevyo tafuta mtaalamu akusaidie kujailbreak
Apple id ninayo na nmedowload baadhi ya mambo Kama operamini na Facebook lakini hii whatsapp imenishinda
 
Sasa kama umeweza kudownload Facebook hiyo Whatsapp inakushindaje? Search kwenye Store download...haina shida labda km hujui umekuta hiyo app iko tu hapo tayari.
 
sio kitu rahisi kama wanavyo sema ! kwanza kabisa tambua whatsapp ina require ios 4.3 na kuendelea . kuna software inaitwa whitedoor ndio nakumbuka ilikua inawezesha whatsapp na instagram kwenye ios 4.2.1 , sababu kubwa ya apple kuwacha kutoa support ni ili ununue simu nyingine . usikate tamaa mr google yupo , pole sana
 
Nimeperuzi Saba google na kuangalia jinsi ya kuingiza
Na nimekutana na
Mawazo tofauti lakini Wengi wanasema haiwezekani kuingia kwenye iPhone 3G ila kuna wengine wameeleza jinsi ya kuingiza lakni uwe uwe na program fulani, ndio maana nimekuja hapa Kama wapo wataalam zaid Wa mambo ya komputer
 
Sasa kama umeweza kudownload Facebook hiyo Whatsapp inakushindaje? Search kwenye Store download...haina shida labda km hujui umekuta hiyo app iko tu hapo tayari.

Facebook na whatsapp ni vitu viwili tofauti na kila kimoja kina supporting version yake mfano Kama Facebook mimi nimedawload old version
 
Mkuu iPhone 3G mwisho wake ni iOs version 4.2.1 na wahtassap inataka iOs version kuanzia 4.3
Kwa hivi sasa hakuna solution, ukizingatia simu yenyewe imekuwa ya sikunyingi sana na madeveloper hawana interest nayo tena
Version za mwanzo za wahatssap zilikubali kwenye whitedoor lakini hivi sasa hamna kitu
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom