ProBook
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 558
- 257
Heshima kwenu wakuu
Naomba kujuzwa mambo machache na wataalam wa iPhone nataka kuupdate iOS ya simu yangu ipo unlocked na cyo jailbroken
1, naweza iupdate kwa kuidownload kwenye simu kwa kutumia Wifi na kuiinstal moja kwa moja au lazima nitumie itunes,?
2,Je application zangu na information ntaweza kuzirestore baada ya update,?
3,sijajua hii simu ilikuwa unlocked vipi je nkuupdate inaweza kusababisha simu ikahardlock,?
Na mwisho battery life inakuwaje kwenye hii iOS 6.1.3??
Nimeattatch picha za information ya simu natumia iPhone 4