Nahitaji PBX, moderate pricing tafadhali. Kama unauza vifaa vya mawasiliano tuwasiliane tafadhali!
18 Mkuu
Unapatikana wapi, kazi ya extension 24 itakuchukua muda gani (point ya mbali kabisa ni mita 15, zote floor moja), utanicharge kiasi gani? PBX extension 16 ports ni bei gani unauza?hapo utahitaji 24 extensions, maana iko 8, 16, 24, 36 na kuendelea. hiyo ya 24 ni sh 650,000 (Panasonic)
kama unahitaji na console ni sh 180,000 (Panasonic)
kama unahitaji fundi wa kufanya installation ninafanya pia. 0767659145, 0787659145, alphonce_tz@hotmail.com
kama unaitaji pbx na ufundi mzma nitafute mana Kuna engineer yupo ttcl namfahamu na ni mkali wa hizi kazi nikuunganishe naeUnapatikana wapi, kazi ya extension 24 itakuchukua muda gani (point ya mbali kabisa ni mita 15, zote floor moja), utanicharge kiasi gani? PBX extension 16 ports ni bei gani unauza?
Halaf hiyo console ni model gani?
Unapatikana wapi, kazi ya extension 24 itakuchukua muda gani (point ya mbali kabisa ni mita 15, zote floor moja), utanicharge kiasi gani? PBX extension 16 ports ni bei gani unauza?
Halaf hiyo console ni model gani?