Wataalam wa electronics na IT nifanyeje kupata namba za ic iliyoungua??

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,168
Wakuu ninashida kidogo naomba msaada wenu.
Kuna deck ya dvd imeungua ic ya kwenye power supply na kuinguza kabisa kiasi kwamba hata namba zake hazisomeki/zimefutika.
Sasa nilikuwa naomba msaada wenu kwa wale wataalam kwa tatizo kama hili nifanyeje kusolve au ntawezaje kupata namba ya ic iliyokuungua??.

Au kama ingekuwa transistor na au resistor nifanyeje??
 
Internet + SEARCH + BRAND ya DVD PLAYER+ MODEL YA DVD PLAYER+Technical MANUAL YA DVD = Utapata specs za power supply IC.

BTN
unaposema kuna deck bila ufafanuzi wa details inabidi watu watumie bahati nasibu kujaribu kukupa jibu.
 
nashukuru mkuu nikifika home ntajaribu kucheck
 
Wakuu ninashida kidogo naomba msaada wenu.
Kuna deck ya dvd imeungua ic ya kwenye power supply na kuinguza kabisa kiasi kwamba hata namba zake hazisomeki/zimefutika.
Sasa nilikuwa naomba msaada wenu kwa wale wataalam kwa tatizo kama hili nifanyeje kusolve au ntawezaje kupata namba ya ic iliyokuungua??.

Au kama ingekuwa transistor na au resistor nifanyeje??
its easy just to replace a faulty device...
 
Umeongea la maana, unless hiyo DVD player ni special sana ni bora kuitupa.

tatizo siyo kuitupa tatizo ni vipi naweza kupata namba ya ic,transistor au resistor iliyoungua mpaka namba zake hazisomeki??
 
nashukuru mkuu nikifika home ntajaribu kucheck

mkuu deck yenyewe imeandikwa hivi
HOME CINEMA SYSTEM HT-Z310

na imeandikwa vitu hivi blue tooth,dvd,usb,divx,dts,play windows media.

Na ic iliyo ungua kwenye power supply imeandikwa hivi ICM 1.
Nazani hapo nimesomeka wakuu so naomba msaada wenu.
 
Mkuu hiyo ni SAMSUNG system?

Alafu umepima au fundi kapima( Kwa utumia vifaa sahihi) kujua na kugundua chenye tatzo ni Powe IC pekee au Mother board nzima? . Usije kuingia gharama kureplace power IC tu kumbe kuna ICs nyingie na vitu vigine vimeharibika.

But nadhani kama kweli ni power IC basi itafute kwa jina la
Samsung KA7552 PWM Controller, KA7552 IC au IC ( KA7552 )

NB
Maelezo hapo juu nimeyaandoka baada ya kuugolge hiyo model na kupewa feedbac kuwa ni brand ya Samsung. . So hiyo ni Power IC ya Samsung. Otheriwise tafuta mtaalam
 
Kariakoo zipo power Supply zinauzwa.So nunua nyingine uifunge.kama vipi tuwasiliane,niione hiyo DVD .Volts zake ni 12,5 na 3 so una haja ya kuangaika sana,just nunua power supply mpya
 
True lazima kwanza kucheck why IC imeungua! Aito saidia kitu ata kama utaipata hiyo IC Lakini ujui why iliungua.pia kwa kuangalia components zinazo conect na hiyo IC Waweza jua ni IC ipi unayotakiwa kuiweka

Back
Top Bottom