Nina laptop aina ya dell inspiron N5040, nimeamka asubuhi,naiwasha ina display mwanga tu pasipo maandishi. Jana usiku nimeitumia. Sasa kabla ya kuipeleka kwa fundi tatizo laweza kuwa nini?
toa harddisk, isafishe sehemu ya kuunganishia na motherboard, pia angalia ram kama ziko mbili jaribu kuweka moja moja uone kama itafanyakazi hope huenda ram zimefail.....fanya hizo troubleshooting
Tatizo linaweza kua kioo, processor, ram, mkanda, motherboard, connection kati ya mkanda na motherboard au connection kati ya mkanda na kioo...so lazina trouble shot ifanyike kwanza, pia data zako haziwezi kupotea unaweza kunichek kwa 0784234391
Mie ya kwangu nikiwasha inakata moto ghafla, hata kama iko fully charged, pia wakati mwingine ikifanikiwa kuwaka inatokea maandishi meeeengi yakiwemo "startup repair" na inaweza inaweza kufanya hivyo kutwa nzima.
Mie ya kwangu nikiwasha inakata moto ghafla, hata kama iko fully charged, pia wakati mwingine ikifanikiwa kuwaka inatokea maandishi meeeengi yakiwemo "startup repair" na inaweza inaweza kufanya hivyo kutwa nzima.
mi si mtaalamu..ila nakushauri ukiwasha,ikileta hayo maandishi ambayo ni mengi, jitahidi uyasome hasa paragraph ya kwanza, hapo kutakuwa na ujumbe juu ya tatizo husika na possible solutions.
Haha pole xana mkuu, hilo ni tatzo linalojulikana kama 'Blue error' huwez kupata muda wa kusoma kwa sababu huwaka na kuzma hupes sana. Soln. Tumia windows recover console/ ifanyie diagnostic inaweza kuondoa tatzo hilo. Note. Fanya hvyo tu kwa matatzo ya softwares ambazo zmekorupt.