Wataalam wa blackberry msaada wenu

Hansy wa East

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
446
Reaction score
232
wadau nataka kununua blackberry bold 8520 used kwa laki na nusu sasa tztizo battery ndo mbovu sasa msaada wako hapa unahitajika 1: battery orginal bei gan na inapatikana wapi? Afu 2: ikiwa mmpya ni bei gani?
Natanguliza shukran
 
duh nenda former jm mall cjui ndo yaitwaje sahv sijui habour view kuna wakala wa blackberry pale ila kitu kimoja tu nishawahi uza blackberry nikijua ina shida ya battery nikabuy mpya nikajionea hvyohvyo, hizi smartphones huwa hazikai sana na charge huwa haiwi kama torch
 
jingine la mwisho bold 85wateva hiyo model ni ya zamani kidogo kaka hop iko na track ball hapo kwa touch pad, sio idea nzuri kubuy hyo fone
 
wadau nataka kununua blackberry bold 8520 used kwa laki na nusu sasa tztizo battery ndo mbovu sasa msaada wako hapa unahitajika 1: battery orginal bei gan na inapatikana wapi? Afu 2: ikiwa mmpya ni bei gani?
Natanguliza shukran

20 to 25 thousand, utapata katika maduka yanayouza smartphones, kama uko A town visit Gadgetronics
 
jingine la mwisho bold 85wateva hiyo model ni ya zamani kidogo kaka hop iko na track ball hapo kwa touch pad, sio idea nzuri kubuy hyo fone

yenyewe ina sensor mkuu japo nene kidogo ukifananisha na curve
 

k ila hii inakaa siku 1 tu
 
yenyewe ina sensor mkuu japo nene kidogo ukifananisha na curve

duh check mwaka wa kutengenezwa coz kama iko na sensor I doubt da model since bold 9000 iko na track ball n it was one of the best blackberries
 
k ila hii inakaa siku 1 tu

kama siku moja sio mbovu hiyo kaka, smartphones ziko na applications nyingi huwa ni ngumu kumaliza siku bila umeme hiyo ndo fact hasa ukitumia kwa mda, we kaa nayo utaizoea
 
kama siku moja sio mbovu hiyo kaka, smartphones ziko na applications nyingi huwa ni ngumu kumaliza siku bila umeme hiyo ndo fact hasa ukitumia kwa mda, we kaa nayo utaizoea

kuna jamaa anataka kuniuzia bold 9700 laki moja na 80 elfu. Hatakuwa kaniuwa kwa hio bei?
 
wadau nataka kununua blackberry bold 8520 used kwa laki na nusu sasa tztizo battery ndo mbovu sasa msaada wako hapa unahitajika 1: battery orginal bei gan na inapatikana wapi? Afu 2: ikiwa mmpya ni bei gani?
Natanguliza shukran

simu Hio Used Kwa Laki Na Nusu? dah Unaliwaaa!! haina 3g camera Mp 2 tuu!! Os Yenyewe kitukooo!! sikushauri Uchukuee!! hapo Ukienda Tigo shop Unapata Huawei ya android kwa 170 tuu!! kui unlock itumie lain zote ni ujanja wako tuu!! Ukishindwa una mpa fundi buku 10 anamaliza kaz!!! Sikushauri kwenye blackbery hata kidogo!!
 
wadau nataka kununua blackberry bold 8520 used kwa laki na nusu sasa tztizo battery ndo mbovu sasa msaada wako hapa unahitajika 1: battery orginal bei gan na inapatikana wapi? Afu 2: ikiwa mmpya ni bei gani?
Natanguliza shukran

Kwangu mimi BB ndo nimefika ila cjajua kwa wengne. Matatizo kama hayo yapo hata ktk simu nyingne!
Pia kwa bei hyo utakuwa umeingia cha kike ukitegemea kwamba tyr betri inazingua. Wasiliana na mwenye namba hii 0652992919
 
Mi mwenyewe natumia hiyo hiyo.Tatizo la kampuni ya blackberry siku za mwanzo utaifurahia,mbeleni yataibuka matatizo kibao ili mradi ukanunue vifaa vyao.BlackBerry wanaboa.Sinunui,situmii tena blackberry,bora nitumie NOKIA tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…