Habari zenu humu jf naombeni msaada wa application ambayo huweza kunibadilishia maandishi kwenye icon yaani Screen icon menu kuwa na muonekano tofauti wa kimaandishi napendelea hasa ule mnyorongo wake kama wa fonts style asanteni kwa mlionielewa simu yangu ni Tecno c8 sijajua endapo itasupport mara nyingi nimeziona kwenye sungsung natanguliza shukrani
Tafuta app inaitwa iFont
Mrejesho : napata keyboard change pekee siipati display Change icon
Ndio automatically nilivyodownload ikanitaka niroot
Mrejesho : napata keyboard change pekee siipati display Change icon
C8 kuroot Mbna rahisi sana....tumia Kingroot v4.8.0 ukiwa na strong net connectionNdio automatically nilivyodownload ikanitaka niroot