Wataalam wa application za simu msaada kidogo

Wataalam wa application za simu msaada kidogo

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
468
Reaction score
682
Wadau habari,

Naomba kujuzwa ni ipi Best Application nzuri kwenye simu yakudownload any mp3 music ziende direct kwenye simu nasio kubaki kwenye app

NB. Natumia Android phone

Ahsanteni
 
Wadau habari, naomba kujuzwa ni ipi Best Application nzuri kwenye simu yakudownload any mp3 music ziende direct kwenye simu nasio kubaki kwenye app
Tumia Google chrome, ingia Google, search jina la wimbo unaoutaka, then chagua website moja wapo kati ya zinazoonekana, fuata maelezo ya kudownload kwenye website husika! DONE!

kuwa na applications za kudownload just Mp3 ni kujaza simu tu.
 
Mm natumia tubemate, video zooote za Youtube nadownload kirahisi kabisa, kwa quality nnayotaka. Vivyo hivyo na mp3/audio pia.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom