Thank youNadhani kama umelikosa kabisa kabisa basi jaribu lolote ila hayo ya cdma uyaache maana huku kwetu bado ni changamoto ingawa waweza tumia ile laini ya TTCL ila anza na hayo kwanza kisha fanya network unlock.
Sent from my Cupboard using Mugs.
mkuu nina galaxy s6 ilikua na 4G nilipo ipiga file na odin ikawa 3G tuu hamna tena 4GKwanza kibongo bongo ingia download mode uhakiki kama hio model ni sahihi.
Model yake ni ipi?mkuu nina galaxy s6 ilikua na 4G nilipo ipiga file na odin ikawa 3G tuu hamna tena 4G
sasa mkuu kuna uwezekano wa kupata File yenye 4G
Samsung galaxy s6 G920P flat sio curveModel yake ni ipi?
Unapata error kwa sababu faili unaloweka version yake ni ndogo kuliko version iliyomo. kuna version mbili za file kuna zenye herufi S na U. Mfano G920PVPS4DRC2 hapo kwenye S4 unaweza kukuta file lingine ni U4 hizo ndo version za file lililomo.Kuna simu za samsung ambazo hazipokei android version kutoka kwa manufacture directly.
Mfano ni galaxy S6 flat (SM-G920P).
But unaweza update version manually.
Sasa tuje kwe lengo.
Ni wazi kwamba ili ufaniliwe ku update version ni lazima upate fail ambalo ni appropriate mwa simu husika.
Ila nimekwama kutambua fail ambalo ni appropriate kwa simu yangu, baada ya kukutana na issue kama...
XAS, BST, USA-VMU, and Spint (cdma) SPR.
Mfano.
G920PVPS4DRC2/G920PSPT4DRC2 (Unknown XAS)
G920PVPS4DRC2/G920PSPT4DRC2 (Virgin Mobile USA VMU)
G920PVPS4DRC2/G920PSPT4DRC2 (Unknown BST)
G920PVPS4DRC2/G920PSPT4DRC2 (Spint (Cdma)
SPR).
Hapo sijui nichague fail lipi.
WATAALAM NISAIDIENI HAPO
According to gsmarena G920p haina band hata moja inayokubali Tanzania.Samsung galaxy s6 G920P flat sio curve
ok mkuu ntakuja na feedbackAccording to gsmarena G920p haina band hata moja inayokubali Tanzania.
LTE band 2(1900), 4(1700/2100), 5(850), 12(700), 25(1900), 26(850), 41(2500) - G920P
Hakuna 800/1800/2300 hapo.
Hivyo hapo kuna mawili,
1. Ilikuwa ikidisplay 4g fake hali ya kuwa ulikuwa ukitumia 3g
2. Wali unlock band.
Jaribu kuangalia hii tutorial
Enable bands
Tumia custom rom ya bigdady,ni kali sana ,sema shida kwa baadh ya s6 zinakosa hotspot
View attachment 1041144View attachment 1041145View attachment 1041146View attachment 1041147View attachment 1041149
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ina game launcher? Unaweza tumia game launcher ku screenshot ama kurecord kioo kwa app yoyote unayotaka.Mkuu mimi mwenyewe nina s6 lakini iyo sehemu ya screenshot na screen record hamna kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Game launcher ipo mi lakini mimi naweza kurecord video au screen shot kwa game tu kwa izo app nyingine wafanyaje?Ina game launcher? Unaweza tumia game launcher ku screenshot ama kurecord kioo kwa app yoyote unayotaka.
Unazi add manualGame launcher ipo mi lakini mimi naweza kurecord video au screen shot kwa game tu kwa izo app nyingine wafanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app