Chamalama Senior Member Joined Dec 12, 2010 Posts 131 Reaction score 44 Jan 13, 2012 #1 Wataalam wa software, vipi kuhusu kutengeneza JF app? Kuna mtu aliwasilisha mada hii, ilifikia wapi?
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Jan 13, 2012 #2 sasa hivi wamejikita kwenye wapsite zaidi kwani app ni wachache sana wanazozitumia kwa hiyo sasa JF admin yote imejikita kwenye wapsite zaidi. Ni hayo tu..
sasa hivi wamejikita kwenye wapsite zaidi kwani app ni wachache sana wanazozitumia kwa hiyo sasa JF admin yote imejikita kwenye wapsite zaidi. Ni hayo tu..
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Jan 13, 2012 #3 App kwa Android mbona ipo? Isake market