WATAALAM NISAIDIENI

WATAALAM NISAIDIENI

Commander In Chief

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2019
Posts
315
Reaction score
730
Hii ni mara ya pili simu yangu Inaniletea huu ujumbe "VIRTUALSIMON" Je kuna uwezekano nadukuliwa au ninini hii wakuu? Msaada please.
 

Attachments

  • photo.jpg
    photo.jpg
    9.7 KB · Views: 27
Ngja waje sjawah pata ujmbe kama huo ila tusbr wajuv
 
Piga *#21#
Kisha tuma screenshot nione. Ila kudukuliwa sio rahisi kihivyo na ukiona unaletewa sana huo ujumba pekua simu yako kama kuna App uliiweka na hujui matumizi yake iondoe mara moja
Hii ni mara ya pili simu yangu Inaniletea huu ujumbe "VIRTUALSIMON" Je kuna uwezekano nadukuliwa au ninini hii wakuu? Msaada please.
 
Huo ujumbe umeambiwa kuwa Virtual SIM 2 ON sio kana kwamba ulivyoelewa wewe.
Yaan SIM 2 ipo ON ndio maana umeambiwa kuwa Virtual SIM 2 ON.

Zama settings ya simu kisha SIM card baada ya hapo screenshot kisha nitumie nione hiyo alert wanakupa ya nini huko kwenye Virtualization[emoji617][emoji617][emoji617]
 
Hapana mkuu.
ok aina gani?,
ila hujadukuliwa ,The Virtual SIM feature is a paid service that allows for access to internet while roaming internationally, without the need to pay the expensive bills of roaming as well as the need to switch out SIM cards.
 
Piga *#21#
Kisha tuma screenshot nione. Ila kudukuliwa sio rahisi kihivyo na ukiona unaletewa sana huo ujumba pekua simu yako kama kuna App uliiweka na hujui matumizi yake iondoe mara moja
 

Attachments

  • photo01.jpg
    photo01.jpg
    78 KB · Views: 17
ok aina gani?,
ila hujadukuliwa ,The Virtual SIM feature is a paid service that allows for access to internet while roaming internationally, without the need to pay the expensive bills of roaming as well as the need to switch out SIM cards.
Mkuu nimekupata vizuri sana, maana huu ujumbe umenijia two times nilipokua border ya TZ/KENYA.
Now nimeelewa. Thanks much bro.
 
Noted Boss
ok aina gani?,
ila hujadukuliwa ,The Virtual SIM feature is a paid service that allows for access to internet while roaming internationally, without the need to pay the expensive bills of roaming as well as the need to switch out SIM cards.
 
Virtual SIM App
When you install the Virtual SIM App or register on the Site, you will be asked to
provide us with your phone number and name and to allow us access to your mobiledevice's address book.

A copy of the phone numbers and names in your address book (but not emails,
notes or any other Personal Information in your address book) will be stored on our
servers and will only be used to:
(a) notify you when your contacts become active on Virtual SIM,
(b) indicate which of your contacts is already a Virtual SIM user,
(c) correctly display the name of each contact as it appears in your address [emoji617][emoji617]book when a call is received.
 
Back
Top Bottom