tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,307
- 4,585
Hebu Sikiliza Hiyo Video (Source - Mange)
Hebu Sikiliza Hiyo Video (Source - Mange)
Kwenye kuagiza magari kuna kodi nyingi ukimanisha nini??Kuna ukweli mwingi, angalia mfano wa kodi ya kuingiza magari Tanzania, inaweza kukupa picha kuhusu uzito wa hili.
Mpaka hapo 38%, hujaweka hiyo excise duty.Kwenye kuagiza magari kuna kodi nyingi ukimanisha nini??
Manake kwenye kuagiza gari kuna kodi tatu tu.
1.Import duty 20%.
2.Excise duty.
3. VAT 18% sasa unavyosema nyingi unamanisha nini
Mkuu sidhan kama upo sahihi na unaongea kitu usicho kijua kabisa ingawa umejitahidi kuonesha kuna unacho kifahamu lakin ki ukweli hujui lolote mkuu kuhusu maswala ya kodi kitaifa na mchakato wake kimataifa ,hongera pia kwa kukashifu mtoa mada.Ukiwa hujui mambo unaweza ropoka ropoka kama huyo kahaba huko marekani anaejiuza afu watu wanamwamimi.
Kodi zipo kwa mujibu wa sheria sasa anavyosema nyingi sijui anamanisha nini lakn pia ili kodi ianzishwe hapa Tanzania lazima uwepo mchakato shirikishi na nchi wanachama wa jumuiya ya afrika masharika na jumuiya nyingine za kiuchumi pia
sipo sahihi wapi na unadhani usahihi ni upi???Mkuu sidhan kama upo sahihi na unaongea kitu usicho kijua kabisa ingawa umejitahidi kuonesha kuna unacho kifahamu lakin ki ukweli hujui lolote mkuu kuhusu maswala ya kodi kitaifa na mchakato wake kimataifa ,hongera pia kwa kukashifu mtoa mada.
Haichajiwi hvyo kwa plus unavyo dhani .Mpaka hapo 38%, hujaweka hiyo excise duty.
VAT inapigwa baada ya hesabu yote ya juu kukamilika na almost kodi ya gari ni sawa na pesa ya ununuzi wa gari.Kwenye kuagiza magari kuna kodi nyingi ukimanisha nini??
Manake kwenye kuagiza gari kuna kodi tatu tu.
1.Import duty 20%.
2.Excise duty.
3. VAT 18% sasa unavyosema nyingi unamanisha nini
kuna umuhimu mkubwa wa kodi na kodi zote huwa zipo kwa sababu.VAT inapigwa baada ya hesabu yote ya juu kukamilika na almost kodi ya gari ni sawa na pesa ya ununuzi wa gari.
Kuna jibu moja la kisiasa niliwahi pata eti tunalinda viwanda vya ndani"nyumbu"??
Hapo ongeza na OSHA, Fire, Road reserve, Mabango, Business license.....halafu upate faida....Nishidaah!; VAT,City service levy,kiwanja,nyumba,PAYE,Coorporate,........Hakuna viwanda hapa!.
Sasa hiyo imesaidia kupata viwanda vya magari hapa kwetu?kuna umuhimu mkubwa wa kodi na kodi zote huwa zipo kwa sababu.
Mfano kuna dumping charges ambazo unatakowa ulipe unaponunua gari ambalo limezidi miaka10 na ndo maana utaona kununua gari hzi zetu tunazomudu ni ghari sana sababu ni nzee nyingi zimezd miaka kumi ili kutofanya nchi ikawa jalala la uchafu basi kuna kuwepo na vtu kama hvyo..
lakn pia ni kudiscourage importation ili waje wajenge huku kwetu watu wapate ajira
Kiongozi naomba utufanyie comparison ya kodi mf. Uganda vs Tanzania, hasa kwenye magari. Napenda watu wanaotoa mifano hai kama wewe...Mimi nadili na magari toka Japan, ukweli ni kwamba, kodi ni almost 90% na pesa umenunulia Gari, ni kubwa Sana, compare na nchi zingine. Msitake kujifanya mnatetea hii kodi ATI ni sawa, angalia wenzetu Kongo, Malawi, msumbiji, Uganda, kodi zao ziko fair Sana,