Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Huko nyuma waliita "SWOT" ,leo hii ikaongezewa nyama na kuwa "SWOC "....
Kupitia taaluma zenu za sheria hebu mtusaidie kuhusu huyu msomi mwanasheria Laurel Sutherland ambaye amehitimu shahada yake ya kwanza ya sheria mwaka 2022 lakini mnamo februari 2022 akaandika chapisho zito juu ya wananchi wa Ngororongo na dhidi ya maamuzi ya serikali tukufu ya Tanzania ya kutaka kuwahamisha ili kulinda "ikolojia" ya hifadhi hiyo.
Je msomi huyu anaijua Ngororongo vyema kwa kuwahi kuishi huko muda mrefu ?!!
Je msomi huyu ni MBOBEZI wa taaluma ya sheria kwa muda mrefu na ameshahusika katika kuandaa machapisho mengi ya kitaaluma yenye "MERITS" za kufundishwa vyuo vikuu ?!!
Je msomi huyu ameshasimama mahakamani mara ngapi kutetea wateja wake hususani walio katika makundi makubwa na hata makampuni makubwa ya ndani ya nchi yake na "overseas" ?!!
Tufafanulieni enyi wajuvi wa hii taaluma nyeti ya sheria.
Wakatabahu.
#Tanzania Kwanza[emoji7]
#JMT milele dumu[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app