LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
wakuu nawatakia heri ya mwaka mpya.
mm nimekaa na kufikiri hivi hakuna namana ya kufanya au hakuna program au softwere ya kuzuia au kukomesha wizi wa sim hapa bongo? hasa hata kwa hizi zenye uwezo wa kufungua net?ukiachilia mbali na ile ya kwenye sumsung ya kutuma namba ya sim kila atakapo badili line.
hivi haiwezekani kweli japo hata kwa kujua tu kuwa sim hii iliyoibiwa sasa hivi inatumika na namba flani na hata kama ikibadilishwa line hata mara 10 uweze kupata mtiririko mzima wa line zilizo wekwa kwenye sim??
hasa kwa kutumia IMEI namba .nazani mtalaam atakaye gundua au kubuni hili hapa bongo atasaidia wengi sana kiasi cha kukomesha wizi wa sim.
maana ukiibiwa sim unapoteza mengi sana na wengi huwa wanahaha japo wapate tu contact zilizopo kwenye sim hata kwa garama ya kuzidi sim yenyewe.
WATAALAM UMIZENI VICHWA BASI
FURSA HIYOO.