Hawa jamaa mm ninachojua wanabebwa saana na Mikopo ya AZANIA BANK,muajiri wao amewa guarantee kukopa kwa kiwango cha juu sana pale Bank, na wengi kwa hiyo mikopo wanajenga fasta au wana nunua magari mazuri au wana fanya business zinazowaongezea viapato.
Ww ulikwenda fanya field au kuchunguza salary za watu?Ndio ninyi mnaofanya field kupatikana ni tabu mana hamfanyi mlicho fata na kufuatilia mambo ya watu.