Waswahili bwana

khaaaa!nimeona kitunguu maji tu baaasi
 
sijaelewa
Mwanaume unapokuwa na pesa utakubalika na kila mwanamke na kuonekana kidume na kwa upande wa mwanamke akiwa na makalio makubwa soko linakuwa juu sana.

Nimeshindwa namna ya kupangilia maneno kama ilivyostahili lakini nimejitahidi kwa kiasi fulani, bila shaka utakuwa umepata picha
 

lazima ataelewa, ufafanuzi mzuri umetoa
 
Usichoelewa ni nini hapo! Unata Mwanaume asifiwe kwa umbo namba nane...???

hahaaaaaaa.. kwa hiyo pesa sabuni ya roho ndo inaleta nguvu za kiume mkuu?? vipi kuhusu billionaire wa apple??? ana za nguvu za ke au me???
 
Hahaaa, yaani hyo ukimwangalia tu unajua bwabwa....! Hivi kweli utakubali kuwekewa mhogo katkat ya makalio?!
 
hahaaaaaaa.. kwa hiyo pesa sabuni ya roho ndo inaleta nguvu za kiume mkuu?? vipi kuhusu billionaire wa apple??? ana za nguvu za ke au me???

hahahaa...swali gumu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…