Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,847
- 6,801
Labda ila kwa ninavyowaona huenda ni mtazamo wangu tu hawana cha kumbabaisha mwanaume rijali gumegume " Alpha male" hata kidogo.
Ndiyo hivyo tena ni mazishi yako.Tutachagua tuanze na lipi?Kula kwanza au kuzika first!?Hawa wadada ni wazur mno shepu,miguu ya bia,kichuguu na weng lightskin.hamna kabila hapa Tanzania inawakuta wasukuma kwa uzur wao ni natural kbs no filter.
Huyo mtoto ni mtam we hujui mkuu, eti Evelyn Salt unageuza watu?😁Mzee angalia yasije kukuta, naskia yeye hugeuza wote wanao mmendea kuwa chakula. Imagine mtu anatumia bro!
Kuna siku nilipiga sound nikaambiwa nilinde mgongo.. Ila kwavile nyie wote ni wazee huenda mkaelewana... Kaza babu, ule mema ya nchiHuyo mtoto ni mtam we hujui mkuu, eti Evelyn Salt unageuza watu?😁
Njoo nikuaminisheNtaamini vp.? 😎
Bro kumbe huwa mnatuona kama wanaume wenzenu sio🙆🏽♀️Labda ila kwa ninavyowaona huenda ni mtazamo wangu tu hawana cha kumbabaisha mwanaume rijali gumegume " Alpha male" hata kidogo.