Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,784
- 26,946
Ndio maana natuma bajaj imfuate Evelyn Salt maana hawa watu wana utam wa sato!!
Bajaj inamfuata Evelyn Salt
ERoni kikao kilichopita Cha wanaume
Kilimtambua kama bro
Imekuwaje Tena?
Ndio maana natuma bajaj imfuate Evelyn Salt maana hawa watu wana utam wa sato!!
UTamu wa pipi ni mate yako tu.Hawa wadada ni wazur mno shepu,miguu ya bia,kichuguu na weng lightskin.hamna kabila hapa Tanzania inawakuta wasukuma kwa uzur wao ni natural kbs no filter.
Usiahadaike na maneno ya kanga mkuu, huyo ni pisi kali, inaulilia kama pisi zingine tu😁Bajaj inamfuata Evelyn Salt
ERoni kikao kilichopita Cha wanaume
Kilimtambua kama bro
Imekuwaje Tena?
Sikuona call yako, piga tena😁Kwahiyo sahivi uko wapi? Ngoja nikupigie kwanza......au upo pabaya!???
Usiahadaike na maneno ya kanga mkuu, huyo ni pisi kali, inaulilia kama pisi zingine tu😁
Mi sahivi nipo pabaya 😹Sikuona call yako, piga tena😁
AiiiiiiiiUsiahadaike na maneno ya kanga mkuu, huyo ni pisi kali, inaulilia kama pisi zingine tu😁
Ntaamini vp.? 😎Ndio 😎
Baghesh kwakweli hili jambo ni la kulisema kwa kina, ngoja nikupigie nikwambie hapa siwezi maliza kuandika
Baghesh kwakweli hili jambo ni la kulisema kwa kina, ngoja nikupigie nikwambie hapa siwezi maliza kuandika
Baghoshaa!Inawezekana binafsi sijawaonja huenda ni kweli😅
Mzee angalia yasije kukuta, naskia yeye hugeuza wote wanao mmendea kuwa chakula. Imagine mtu anatumia bro!Ndio maana natuma bajaj imfuate Evelyn Salt maana hawa watu wana utam wa sato!!
Mke wangu wa huko pia maeneo ya Mngugia mbele ya Sepuka. Aisee watu wa kule BIG MASHAALLAH. Nadhani asili yao sio wabantu wale.
Ukifika hizo pande hususan Itigi ndani ndani huko. Kuna wanaojiita warimi. Bro! Waweza sema upo Ethiopia au Eritrea na sio Tanzania. Wale watu wazuri bana. Ila shida wengi wao kichwani sifuri pia wanaendekeza ngono.Huku Pakutembelea