kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,595
Kuna watu au makabila Tanzania yanafanya kila mbinu yatambulike na kupata umaarufu na yanashindwa ila Ndugu zetu Wasukuma wanapata umaarufu wa bure kwenye mitandao ya kijamii!
Picha nyingi zimesambaa mitandaoni kuonyesha kuwa Wasukuma ni washamba( Sio kweli kuwa ni washamba) kwa lengo LA kuchekesha, kufurahisha na kudumisha utani na umoja.
Wasukuma tuamke na kutumia hii fursa kuionyesha jamii ya Tanzania kuwa sisi sio washamba na tunaweza kufanya mambo makubwa na ya kijanja!
Miaka ya nyuma Wachagga hasa wa Kishumundu ndo waliaminika ni washamba sana halo iliyopelekea kila mtu akijitambulisha kuwa ni Mchagga automatically unaulizwa "WA KISHUMUNDU"?
Wanawake wa kichagga miguu yao yote ya kushoto, mara wana shepu kama kiroba! ma mengine mengi........Ila kwa sasa wachagga ni kabila linalojulikana sana Tanzania!
"Wahaya na majivuno Wapenda sifa'.
Tuuonyeshe umma wa Tanzania kuwa sisi ni wajanja na tunaweza kufanya vitu adimu! Tusilalamike, yapo makabila yanayotamani Umaarufu kama huu..