Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,844
Hongera unaakili sana, hamasisha watu kupeleka maendeleo nyumbani na usikate tamaa ikibidi tengeneza network nzuri ya watu wengine ambao upo nao huko Canada.
Mimi ni msukuma, baba msukuma mama mtutsi naishi ottawa, canada. Natoa mwito kwa wasukuma wote ktk sayari hii- dunia kujitambua, kuwa ndugu na kusaidiana kwa hali na mali ili tuweze kupata maendeleo ktk maeneo ya nyumbani. Baba yangu ni mnyantuzu wa bariadi jina lake ni sendama
Kwanza usichokijua ni kwamba hakuna kitu kama Wasukuma, jina Wasukuma lilitungwa na Wazungu, wazungu waliamua tu kuwaita watu wanoishi Eneo hilo, Wasukuma yaani maana yake watu wa kutoka kaskazini, sasa watu wa kaskazini ni kina nani hao ni wote wanaoishi Kaskazini mwa mwa Ziwa Nyanza kuanzia Wanyankole wa Uganda, Wanyarwanda mpaka hawa wa kwetu, na ndio maana hakuna kitu kama Lugha ya Kisukuma hicho mnachoita kisukuma hakipo ni Lugha tu iliyovumbuliwa na Wazungu kama vile Kichaga hakuna kitu kama Lugha ya Kichaga, au sijui Kihaya hakuna kitu kama hicho!
Hivyo ulipaswa uanzie hapo, kujitambua kwanza kwamba wewe ni Mtanzania angalau ni jina tulilojipatiza wenyewe (Waafrika) kuliko Usukuma au sijui Uchaga ambayo tulibatizwa na wazungu!
Ngwangaluka bhageshi,nikobhelage kakima kape ukwene!