Wasukuma tujitambue

Wasukuma tujitambue

Duuuh mwenzenu mchagga mimi nilikua napenda niolewe na msukuma kuumbee hamjitambui teyner uwiii...basi nagaili ngoja nimkubalie yule chalii wa moshi...licha hajui mambo,lakin nitamkubalia ivyoivyo

jaga lolo!
 
Pande za ligi wako vizr kudadeks...sasa mbona wanalaumiana,nisije enda cha kasa alafu nikabakia na kusifia mechi nikafa maskini bure..namkubali chalii yangu najua kilajioni mahesabu nakabiziwa ya siku nzima...kutokujua kwake mechi nitamvumilia tuu

Kazurikazuri angalia usije ukaishia kuchepuka oooh! Shauri yako!! Mambo yote ligi mengine yatafuata! Kwani amekwambia atakaa kijijini?
 
Mimi ni msukuma, baba msukuma mama mtutsi naishi ottawa, canada. Natoa mwito kwa wasukuma wote ktk sayari hii- dunia kujitambua, kuwa ndugu na kusaidiana kwa hali na mali ili tuweze kupata maendeleo ktk maeneo ya nyumbani. Baba yangu ni mnyantuzu wa bariadi jina lake ni sendama

wasukuma huwa hawahamasishani, naona wewe unajihamasisha ukiwa nyuma ya keyboard, damu yako iko upande wa mama asee.
 
Mnarudisha ukabila,Badala ya kusema Watanganyika tujitambue,nyie mnataka kutambuana kwa usukuma wenu!Shame on U. We msukuma uliyeolewa na Mtutsi,ubaguzi wenu muupeleke huko mnako malizana kisa Uhutu na Ututsi.
xvfhjduyehdebd
 
Umemchanachana hata kwa vitu ambavyo hajavigusa kabisa sijajua kwa sababu ya kuwachukia zaidi wanyarwanda kisa tu kajitambulisha mzazi wake mmoja ni wa kutokea huko!

Jagarld.
 
Hilo suala la utanganyika limebaki kuwa mdomoni mwa wanasiasa:ukabila, udini,ukanda,undugu n.k vinatawala kwa sasa.
 
Mnarudisha ukabila,Badala
ya kusema Watanganyika tujitambue,nyie mnataka kutambuana kwa usukuma
wenu!Shame on U. We msukuma uliyeolewa na Mtutsi,ubaguzi wenu muupeleke
huko mnako malizana kisa Uhutu na Ututsi.
xvfhjduyehdebd

nimeipenda hiyo sentensi ya mwisho uliyomalizia japo sijaelewa maana yake boss
 
Makabila yanayoongoza kwa ukabila Tz ni Wahaya, Wanyakyusa na Wasukuma...that's top 3 in Tanganyika
 
Mimi ni msukuma, baba msukuma mama mtutsi naishi ottawa, canada. Natoa mwito kwa wasukuma wote ktk sayari hii- dunia kujitambua, kuwa ndugu na kusaidiana kwa hali na mali ili tuweze kupata maendeleo ktk maeneo ya nyumbani. Baba yangu ni mnyantuzu wa bariadi jina lake ni sendama

wewe mwenyewe hujitambui kuna wengine wanaogopa kurudi kuwekeza sababu ya kulogana eti kisa umewazidi mali na kuhofia kuzidiwa kimali jaribu wewe urudi
 
jitambue wewe kwanza kujikomboa kwenye utumwa wa hiari rudi kwenu achana na makombo
 
Mimi ni msukuma, baba msukuma mama mtutsi naishi ottawa, canada. Natoa mwito kwa wasukuma wote ktk sayari hii- dunia kujitambua, kuwa ndugu na kusaidiana kwa hali na mali ili tuweze kupata maendeleo ktk maeneo ya nyumbani. Baba yangu ni mnyantuzu wa bariadi jina lake ni sendama
njoo uone ndugu zako wanavyoabudu waganga na uchawi. wamewageuza binaadam wenzao malighafi kutengeneza uchawi kupata ubunge na utajiri. kama wewe albino kaa hukohuko. huko usukumani kuna maduka ya wachawi yenye leseni. sijui serikali yetu inaongozwa na wachawi?
 
mmmmhhhh...!!!
anguuuu????!!!
 
njoo uone ndugu zako wanavyoabudu waganga na uchawi. wamewageuza binaadam wenzao malighafi kutengeneza uchawi kupata ubunge na utajiri. kama wewe albino kaa hukohuko. huko usukumani kuna maduka ya wachawi yenye leseni. sijui serikali yetu inaongozwa na wachawi?
Serikali yenyewe inayoabudu ushirikina hii unategemea nini? Mpaka kwenye bunge maalum la Katiba inapeleka wawakilishi wa wachawi akina Kingunge!!
 
Rwigyema unafanya nini canada. Wasukuma mmepewa dhahabu. almasi.ng'ombe wengi na mbuzi. pamba. sangara. ardhi nzuri. wake wazuri waliojazia. Umewaachia wakanada wa barrick dhahabu wewe unakwenda kuosha magari kwao ? rudi tukuozeshe
 
Back
Top Bottom