Mai-Ndombe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 542
- 833
wamekumwaga mpwa
wwajanja wengi
Karibu rudi nyumbani karibu simiyu yetu tumethubutu,tumeweza sasa tunasonga mbele.Mimi ni msukuma, baba msukuma mama mtutsi naishi ottawa, canada. Natoa mwito kwa wasukuma wote ktk sayari hii- dunia kujitambua, kuwa ndugu na kusaidiana kwa hali na mali ili tuweze kupata maendeleo ktk maeneo ya nyumbani. Baba yangu ni mnyantuzu wa bariadi jina lake ni sendama
Mimi ni msukuma, baba msukuma mama mtutsi naishi ottawa, canada. Natoa mwito kwa wasukuma wote ktk sayari hii- dunia kujitambua, kuwa ndugu na kusaidiana kwa hali na mali ili tuweze kupata maendeleo ktk maeneo ya nyumbani. Baba yangu ni mnyantuzu wa bariadi jina lake ni sendama
Karibu rudi nyumbani karibu simiyu yetu tumethubutu,tumeweza sasa tunasonga mbele.
Mimi ni msukuma, baba msukuma mama mtutsi naishi ottawa, canada. Natoa mwito kwa wasukuma wote ktk sayari hii- dunia kujitambua, kuwa ndugu na kusaidiana kwa hali na mali ili tuweze kupata maendeleo ktk maeneo ya nyumbani. Baba yangu ni mnyantuzu wa bariadi jina lake ni sendama
Huwajui me wa Kisukuma wewe! Kama wewe ni ke jaribu kuwa karibu nao utatuletea habari. Shida ya Usukumani ni kuendekeza ushirikina tu lakini kwa mengine tuko vizuri sana!!
Mimi ni msukuma, baba msukuma mama mtutsi naishi ottawa, canada. Natoa mwito kwa wasukuma wote ktk sayari hii- dunia kujitambua, kuwa ndugu na kusaidiana kwa hali na mali ili tuweze kupata maendeleo ktk maeneo ya nyumbani. Baba yangu ni mnyantuzu wa bariadi jina lake ni sendama
Umeolewa na msukuma au unataka kuolewa na msukuma?
Umenikumbusha wakati tuko Moshi wadada wa Kichagg walikuwa wanayakubali sana mambo ya Wasukuma!! Kwa hiyo na wewe unakubali kwenye ligi wako njema?Duuuh mwenzenu mchagga mimi nilikua napenda niolewe na msukuma kuumbee hamjitambui teyner uwiii...basi nagaili ngoja nimkubalie yule chalii wa moshi...licha hajui mambo,lakin nitamkubalia ivyoivyo
Umenikumbusha wakati tuko Moshi wadada wa Kichagg walikuwa wanayakubali sana mambo ya Wasukuma!! Kwa hiyo na wewe unakubali kwenye ligi wako njema?