Wasukuma sio wa sport sport

*KWELI.WASUKUMA NOMA... NCHI NZIMA SASA HIVI TUNA WASIKILIZA WASUKUMA WA TATU TU, MAGUFURI, MAKONDA NA GWAJIMA.... PIGA MAKOFI KWA MANGOSHA*

~Mwandishi Huru~
Mungu anisamehe, hilo kabila nimelichukua bure. sio mkabila lakini kwa bashite na bae wake, aisee siwaamini tena.
 
Na mungu alivyo muweza na alivyo wa ajabu usikute hapo magu ndo alitakiwa kuwa mchungaji,gwajima raisi then bashite yeye na James delicious wangekuwa wanagombania migomba huko insta
 
a160867d531d14903e4e919ee4b50503.jpg

Lemtumbo yuko live insta huko
 
Aaaaaah wasukuma utawajua tu, Hawa ndio walikua wanasifiwa kwa uungwana na upendo kwa wengine?
 
*KWELI.WASUKUMA NOMA... NCHI NZIMA SASA HIVI TUNA WASIKILIZA WASUKUMA WA TATU TU, MAGUFURI, MAKONDA NA GWAJIMA.... PIGA MAKOFI KWA MANGOSHA*

~Mwandishi Huru~
Kuna mmoja alikuwa anaitwa mzee wa kujaza mapesa a.k.a cheyo, sijui amepotelea wapi
 
Back
Top Bottom