๐๐๐Uwiiiiii
Jamani mpwaaaaaa!
Bahati mbaya sana sijawahi kudeti binti wa Kisukuma. Nina uzoefu mkubwa na Wachaga. Siku wakifikiwa nishtue Boss Lady ๐๐๐
Mpwa ni elf 35 mpya kabisa nitumie pesa nikuchukulie hapa vunja bei๐คฃ๐คฃ๐คฃJamani mpwaaaaaa!
Tena ukipata VPN ya bei nafuu huko nishtue mpwa! ๐๐๐
View attachment 3404318
๐๐ Ntakuunga mkonoMkija kwa wachaga npo tayari kutoa ushahidi....ata kama nimezibwa mdomo nitaropoka tu
Tumeshafika tayari ๐ฌMkifika kwa wahaya mtanistua