Wapo mtakaoniita mbaguzi ila ukweli utabaki nyumbani ni nyumbani lazima upapatie kipaumbele. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kisukuma kuoa wanawake wa makabila mengine na kutupilia mbali utamaduni wa kurudi nyumbani kupata mke, wengi wanakimbilia uchagani, kabila lisilokubalika na wazee wengi wa kisukuma, leo nawauliza dada zenu wataolewa na nani kama hamtaki kurudi kuoa nyumbani? Kama ni usomi tu dada wa kisukuma wamepiga shule si mchezo, vijana wenzangu wa kisukuma rudini mkaoe kwenu, dada zenu kwa sasa wamebaki kuzalia nyumbani tu, ni wasimbe kama mnavyojua, nani atawaoa kama mnakimbilia uchagani?
hahahahahahhaaa,wanachanganykiwa na yoyote mweupeeee...lool,huwa inanichekeshaga sanawasukuma wengi wanachanganyikiwa na ule weupe wa wachagga,
Naona mila na tamaduni zao zinaruhusu kaka kumuoa dada yakeNi dada zao,
Sasa unataka waoe dada zao?
hahahahahahhaaa,wanachanganykiwa na yoyote mweupeeee...lool,huwa inanichekeshaga sana
Na pia mtoa mada asisahau wanawake wa makabila mengine wanawasaka sana hao wanaume wa kisukuma , kwa imani kua wanajua kupenda, vifanyio vyao imara, n.k .....
kumbeeeee,ndo maana kuna watu nawajua ni ving'ang'anizi balaa...basi madada zao wajue kwamba wana competition kubwa plus weupe natural ni kigezo piaNa pia mtoa mada asisahau wanawake wa makabila mengine wanawasaka sana hao wanaume wa kisukuma , kwa imani kua wanajua kupenda, vifanyio vyao imara, n.k .....