Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
kama uko Dar es Salaam. jumamosi tarehe 28 .saa 3 asubuh nenda makaburi ya kisutu.
kutakuwa na dua ya marehemu
heading yako irekebishe hakuna siku ya december
Tuko bussy sana aisee..
ntasafiri hata kwa ndege ili mradi tu nifike!
niambie mkuu na baada ya dua kinafuatia nini?
Ni wali tu, unadhani nini zaidi?
Hahahahahaha hajui hata sie tuna ndugu zetu tunaenda kuwafanyiaa duaaa
wali waliwa wapi?
kwa sajuki nyumbani?
jamani nimekumis we nanii!!
how waz ur xmas?
I think so... tena kabla ya wali kutakua na mchango (arambee). Siku hizi kila ki2 biashara 2
ntasafiri hata kwa ndege ili mradi tu nifike!
niambie mkuu na baada ya dua kinafuatia nini?
Unatudi air port unasepa arusha tena