Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,456
- 872
N ukumbuke wale wa EA COMMUNITY..........Nchi hii ndo maana watu wanaiba,ukishastaaf ww huna thaman unless uwe rais mstaaf, makamo wa rais mstaaf na waziri mkuu mstaafHabari, Naandika uzi huu kwa machungu makubwa! Mara nyingi huwa sipendi kuandika andika humu,
Mzeewangu alistaafu kazi katika shirika la reli la Tazara mwaka 2005-
ni miaka 11 mpaka sasa anafuatilia mafao yake pasipo mafanikio yoyote. Wazee hawa wana hali mbaya sana mitaani kwa sasa. Ombi langu kwa wahusika, muwasaidie wazee wetu hawa waliojenga reli hiyoo miaka ya 1970's na kulitumikia Taifa kwa uzalendo na weledi wa hali ya juu.
Binafsi, ninataambua juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kusimamia ustawi wa watumishi wake. Ninaomba wahusika waanze na hili, wawakomboe wazee wetu hawa ambao wamekata tamaa kwa hali ngumu ya maisha. Kuna wakati huwa najiuliza Wazee wetu hawa walimkosea nini Mungu?
Habari, Naandika uzi huu kwa machungu makubwa! Mara nyingi huwa sipendi kuandika andika humu,
Mzeewangu alistaafu kazi katika shirika la reli la Tazara mwaka 2005-
ni miaka 11 mpaka sasa anafuatilia mafao yake pasipo mafanikio yoyote. Wazee hawa wana hali mbaya sana mitaani kwa sasa. Ombi langu kwa wahusika, muwasaidie wazee wetu hawa waliojenga reli hiyoo miaka ya 1970's na kulitumikia Taifa kwa uzalendo na weledi wa hali ya juu.
Binafsi, ninataambua juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kusimamia ustawi wa watumishi wake. Ninaomba wahusika waanze na hili, wawakomboe wazee wetu hawa ambao wamekata tamaa kwa hali ngumu ya maisha. Kuna wakati huwa najiuliza Wazee wetu hawa walimkosea nini Mungu?
Hivyo Nani Mwenye Wajibu Wa Kuwalipa Hao Wazee, Tazara au Serikali?
Poleni sana Mkuu umenikumbusha wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya na Uganda) wastaafu wa Kenya na Uganda wote walilipwa mafao yao na wale Watanzania wakadhulumiwa mchana kweupe na wengine wameshafariki. Hawa haki yao ndiyo imeshapotea, kama nanyi mnasubiri kwa miaka 11 sasa basi uwezekano wa Mzee wako kupata haki yake ni mdogo sana. Inasikitisha na kuumiza sana
Wako wale wazee wa EAC pale Mnazi Mmoja....wanatia huruma.Na hawa pia tuwaombee walipwe haki zao