PPF wanatoa malipo ya tsh 50.000 kwa mwezi kwa wastaafu ..... Pamoja na michango waliochangia wastaafu hao kwa miaka kibao kazini .... Malipo haya ni madogo mno hasa ukizingatiz kiwango hicho kimekuwa kikitolewa muda mrefu bila mabadiliko licha kubadilika hali ya uchumi duniani na dola kupanda siku hadi siku ..... Ni wakati sasa wa Mh. Magufuli kuliangalia