Cjui umeelewa suali ? Kuna kustaafu na kuna kipindi maalum kikatiba ni lazima uondoke,si ulisikia ule uvumi kuwa yule jamaa na bunge chomekwa walikuwa na mipango cha kuondoa kikomo.Mkuu, ustaafu wa Raisi au Waziri Mkuu uko kisheria, sasa wewe unakereka na nini ?
MDUDE amepiga za mbavu MaCCM mmeumia sana. MDUDE BABALAO….!😂😂😂Chadema hii hii ya Mdude Nyagali?
Kwa hizi code watakaokuelewa ni wale wanaofuatilia matukio yote ya bongoYule aliyekuwa Zbr enzi zile baadaye akaja Bara amefanikiwa kumpenyeza moja ya vijana wake kuwa mtawala Kiembembuzi, na huyu mwingine huenda anataka kumpenyeza Prince ili atuuze vizuri kwa wale jamaa wenye macho madogooo!
Hao mwendazake aliwatukana na kuwananga, kuwabagaza kama mapumbavu, walikaa kimyaImekuwa ni mtindo sasa hawa wastaafu maraisi mawaziri na wengine tele ,wamezua mtindo wa kuingia katika shuguli za kiserikali eti kama wastaafu,kama tunavyojua mwaka wa 2025 Chadema wanaibuka kidedea katika uchaguzi wa Uraisi na kugawana wabunge katika sehemu zingine.
Je hawa wanaojulikana Wastaafu watakuwa na nafasi kama inavyoonekana sasa ? Na nikihongezeya hakuna Raisi mstaafu ,wote walimaliza kukaa na cheo hicho kwa mujibu wa Katiba,sasa nip palepale inakuwaje wanakuwepo katika mambo ya serikali au wana mambo yao ya kulinda interest zao maana CCM ukiondoka wanakukeketa vibaya sana,tumeyaona kwa baadhi ya walioachana na CCM mpaka wametafuta nyumba yao ya maficho kwa kisingizio cha Narudi nyumbani.
Hili jambo nina mashaka nalo. Yaani naisubiri 2025 niwaone wastaafu kama watahamia Nyumba mpya.
Sisi huku tunakula chinese asee n tamu hasa ya karanga na ubwabwaKwa hizi code watakaokuelewa ni wale wanaofuatilia matukio yote ya bongo
Vinginevyo umewaacha wengi
Ila mi nimekuelewa hapo kwa wenye macho kama piritoni
Aliwabana mbavu balaa ahahaHao wastaafu sasa naona wamepata kaupenyo wanapumua, mwendazake aliwafungia vijijini kwao mpaka wakasahaulika, ila hii spidi ya mzee wa Msoga ngoja tuiangalie tuone mwisho wake.
Wanalinda masilahi yao. Kumbuka: Mwendazake kawajengea makasri.Imekuwa ni mtindo sasa hawa wastaafu maraisi mawaziri na wengine tele ,wamezua mtindo wa kuingia katika shuguli za kiserikali eti kama wastaafu, kama tunavyojua mwaka wa 2025 CHADEMA wanaibuka kidedea katika uchaguzi wa Uraisi na kugawana wabunge katika sehemu zingine.
Je, hawa wanaojulikana Wastaafu watakuwa na nafasi kama inavyoonekana sasa? Na nikihongezeya hakuna Raisi mstaafu ,wote walimaliza kukaa na cheo hicho kwa mujibu wa Katiba, sasa nipo palepale inakuwaje wanakuwepo katika mambo ya serikali au wana mambo yao ya kulinda interest zao maana CCM ukiondoka wanakukeketa vibaya sana, tumeyaona kwa baadhi ya walioachana na CCM mpaka wametafuta nyumba yao ya maficho kwa kisingizio cha Narudi nyumbani.
Hili jambo nina mashaka nalo. Yaani naisubiri 2025 niwaone wastaafu kama watahamia Nyumba mpya.
🤣 😅 ✍️Kwa hizi code watakaokuelewa ni wale wanaofuatilia matukio yote ya bongo
Vinginevyo umewaacha wengi
Ila mi nimekuelewa hapo kwa wenye macho kama piritoni
Mkuu tazama hapo kwenye alertsKwa hizi code watakaokuelewa ni wale wanaofuatilia matukio yote ya bongo
Vinginevyo umewaacha wengi
Ila mi nimekuelewa hapo kwa wenye macho kama piritoni
Hapo ndipo utamu wa jf unapoanzia
🤣😂Hapo ndipo utamu wa jf unapoanzia
Safi hio
Nimeona mkuu