Wassira: Urais si mama mkwe

Pumbabu we kwanza ondoa neno sir, huna hadhi hip hata hujui kujenga hoja unakurupuka kama umegongewa mkeo. Rudi kasome gazeti usimlishe maneno Hugo mzee
 
Hivi nchi hii imelaaniwa na nani kiasi dha huyu mdudu naye kutamani kutuongoza! Hii ni laana si bure! hajitizami hata kwenye mirrors zote ? kiroho ni jinamizi na kimaumbile ni dubwana lisilofaa hata kitoweo

Daaah unalaana ya kumgonga mama yako c bure adhabu yako nikuliwa unachokalia
 
Ikiwa mtanzania yeyote kajipima akaona anao uwezo wa kutuongoza watanzania,na watanzania pia wakampima Wakaona anaweza kuwaongoza huyo ndo anaye faa kutuongoza, watanzania Wengi sasa wanazungumza habari ya WASIRA kuwa raisi naamini wamefanya upembuzi wa Kina wa sifa zake na wanaamini Ndio m2 sahihi zaidi kuwa raisi wao,na Mimi sina shaka na Hilo.nadhani Nchi inamuhitaji Huyu kiongizi.
 
Hakuna MTU atajamaliza matatizo ya wanadamu

Kama wasira tangu anakatika kwenye kwaya za tanu ana miaka 13 mpaka leo anang'ang'ania kutatua mambo ya nchi,sijui alisahau nini mpaka leo ana miaka 70
 
Bora huyu mzee aisee kulilo hao wengine
 
Pumbabu we kwanza ondoa neno sir, huna hadhi hip hata hujui kujenga hoja unakurupuka kama umegongewa mkeo. Rudi kasome gazeti usimlishe maneno Hugo mzee

ok nimeweka bwana na nimeondoa neno usilolipenda! hoja kwako ni pale ningesema hongera sanaaa Wasira! sijawahi kufundishwa kutukana ila nimefundishwa kuvumilia!
 
Sio wengi,ni yeye,mkewe na shamba boy
 
ok nimeweka bwana na nimeondoa neno usilolipenda! hoja kwako ni pale ningesema hongera sanaaa Wasira! sijawahi kufundishwa kutukana ila nimefundishwa kuvumilia!

Basi vyema endelea kuvumilia mpaka atakapokuwa Rais
 
Huna hoja wewe how comes unaandika upuuzi kama huu, ?? we ndo una laana jichunguze vizuri, hapa watu wanajadili hoja sio upuuzi. Kama unatafuta bwana nenda tandale huko..........
 
Huna hoja wewe how comes unaandika upuuzi kama huu, ?? we ndo una laana jichunguze vizuri, hapa watu wanajadili hoja sio upuuzi. Kama unatafuta bwana nenda tandale huko..........

Ha ha ha ndo aliko mumeo nn? Mi nipo na baby wangu hapa bana
 
Alishaprove mara nyingi hana diplomacy huyu

Mbinafsi na asiyejali wala kuheshimu maoni ya wengine...
 
Jitahidi sikuzote kuelewa na si kukosoa,,,,,mie gazeti ninalo na hakurudi kwa sababu hiyo....
 
Alishaprove mara nyingi hana diplomacy huyu

Mbinafsi na asiyejali wala kuheshimu maoni ya wengine...

Wengine wepi?? Mungu okoa Tanzania kweli zile zero za kuanzia 2010 zmeshaanza kazi walahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…