Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,522
Makamu umenyuti Sana hatujakuzoea hivyo tafadhali okoa jahazi vinginevyo Askofu hana dogo huyu
Wewe ndio msemaji wake?Naamini hana uwezo wa kumjibu Gwajima
Tofauti ya dhana, nia, dhamira na mitazamo yao, kuhusu musitakabali wa Tanzania ya leo (kinachoendelea) na ya kesho, yakiwakilishwa kwa kauli zaoWewe ndio msemaji wake?
AiseeMakamu umenyuti Sana hatujakuzoea hivyo tafadhali okoa jahazi vinginevyo Askofu hana dogo huyu
Acha mambo yajichambue wenyewe kwa wenyewe huko ndani. Huku nje tunasubiri matokeo tu ya uchambuzi huo.Makamu umenyuti Sana hatujakuzoea hivyo tafadhali okoa jahazi vinginevyo Askofu hana dogo huyu
Mbona unachekesha kijana, yaani chizi Wassira huyu huyu aseme kitu kweli, jioni hii tu watu wamemkuta chemba na changu wake akipewa massage huku akinywa gongo kama kawaida yake.Makamu umenyuti Sana hatujakuzoea hivyo tafadhali okoa jahazi vinginevyo Askofu hana dogo huyu