Vitu vingine msiwe mnazungumza tuuu fanya utafiti kidogo....ULIZA BENKI YA CRDB ILIKUWA YA NANI ,ILIANZISHWA LINI NA NANI ILIKUFANYA NINI..kuanzisha Benki nyingine sasa ni uthibitisho wa namna asivyofaa kupewa hata uenyekiti wa Kijiji.
Si bure Bwana Mdogo unavyomshupalia huyo mchapa usingizi bungeni. Naona wewe ni MCCM halisi hamjali tena hata nchi ikizidi kuporomoka, kwenu sawa tu. Loh! wakina zidumu, poleni sana hakuna rangi hamtaona mwaka huu. Mtatukana mpaka matusi yakose nguvu. Mjikute mnatukanana wenyewe kwa wenyewe.