mtahengerwa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 384
- 173
Mbona hajatangaza nia au anasubili Tukamshawishi? By JK
Kiongozi bora lazima awe na ushawishi kwa watu anaowaongoza! na huwezi kuwa na ushawishi kama hukubaliki! na huwezi kukubalika kama hawakuamini! na hawawezi kukuamini kama sio mwenzao! na huwezi kuwa mwenzao kama husemi au kusimamia maslahi yao!
WASSIRA! Watanzania wamekuamini, wamekukubali na wanakuita mwenzao! na sasa wanakutuma 2015 ukatetee maslahi yao kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Mmmmh$ wasira huyu huyu alieharibu hali ya hewa kwenye sakata la kuchinja ng'ombe??
Mmmmh$ wasira huyu huyu alieharibu hali ya hewa kwenye sakata la kuchinja ng'ombe??