Wassira kwa ulalaji

hapa analala wakati alikuwa ana kaimu nafasi ya waziri wa maji wakati wa mapitio ya bajeti

tatizo watanzania wengi bado tumelala, siku tutakayoamka sisi,hakika hakutakuwa na mlalaji hata mmoja bungeni.

Kashiba nyama za mnadani pale Dodoma.Si unajua nyama choma na moja ya moto moja ya baridi?Alafu Bunge letu si unajua DS100 AND DS 200 NYINGI SANAAAA.Hakuna jipya so mzee lazima alale tu.

hajalala jamani anatafakari mwenzenu mwoneeni huruma wizara yake ni nzitooo

MLACHA NA KIKULA
Kashiba nyama za mnadani pale Dodoma.Si unajua nyama choma na moja ya moto moja ya baridi?Alafu Bunge letu si unajua DS100 AND DS 200 NYINGI SANAAAA.Hakuna jipya so mzee lazima alale tu.

Kusinzia ni pumziko jema sana, ingawa Bungeni siyo mahala pake, hata hivyo mzee wetu Wasira katumikia nchi hii muda mrefu, ana haki ya kuwa mchovu

Asikudanganye m2 usingizi mtamu xana ngojea nilale niote ndoto njema maisha matamu sana kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake

eti huyu ndiye komandooo. wasiwe makomandoo kina tundu lisu,zitto, lema,wenje n.k awe yeye!kwisha habari yake, na tunaziweka pazuri hizi picha. makamanda tutazibandika kuta zooote za jimboni kwake baada ya bajeti!nisaidieni tutumie taito gani?

Jamani muwe na huruma huyu mzee alisha sema ni mgojwa na posho anazitaka sasa nyie mnataka akalala nyumbani akose posho eboooooooooo....yaani hapa ni sawa na kuwambia Shibuda posho ifutwe.....hahahahahahahahahah

Shida ni kwamba anaumia shingo. Itabidi mheshimiwa msemaji afikirie kuweka vitanda angalo vichache humo mjengoni kwa ajili ya wazee wetu hawa..

he ! Mbona na huyo jirani yake naye anakoroma?umri jamani !
Hivi kwa nini isipitishwa sheria ili uwe mbunge umri usizidi miaka 45 mwisho. Haya madingi yanakoroma tu humo bungeni wakati watanzania walipa kodi wanatoka jasho wao matumbo makubwaaa kukazania posho zisifutwe na mishahara iongezwe. Inanitia uchungu sana!!

Ama kweli usingizi hauna baunsa,,na ukistaajabu xa musa utaona ya wasira.

Lizee la kusinzi hilo, yawezekana linaumwa ugonjwa wa malale aisee

Sijui wanfamilia wanajisikiaje kuona dingi ni champ wa kuuchapa kazini

next time aende na pajama na awe anapokea night/sleeping allowances tu

WHAT A WASTE OF TIME SLEEPING IN A MEETING

Hata mwenye ulemavu wa macho ataona kuwa huyo mzee hajalala. Kwa akili yako mtu atalalaje huku anaandika? Tupunguze ushabiki na badala yake tutumia viungo alivyotupa Mungu kwa matumizi ya kufikiri badala ya kutumia maungio ya kukalia chini kufikiria.

Kazi sana kulinda upuuzi.... sijui macho yake nayo meusi kama rangi yake???

what a waste

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…