Dah Wasira as a person ana mapungufu mengi sana ambayo kila binadamu anayo ila nimesema hapo awali kwamba when it comes to political dialogue i admire him coz hata kama anaongea uongo anaweza kukuconvice ukakubaliana na uongo wake. Ni kama leo amesoma tention iliyokuwepo baina ya pande mbili na akaamua kujaribu kupoza moto politically (Hii haimaanishi amefanya mpango na bajeti kukidhi vigezo nooo but amejaribu kuwa mtu mzima kwenye kundi la watoto)Wassira anapenda sana madaraka na anayatumia vibaya madaraka wewe unasemaje ? Ushahidi ninao mimi alipo mtishia jamaa wa KJ Motors na kumwambia atamtambua akisha kula kiapo kama waziri na hapo ilikuwa kabla hata ya kampeni.
well said, Jk kapata mshauri lakini pia ukimsikiliza wassira kwa makili leo bungeni anaonyesha akiwa kwenye vikao vyao hakopeshi mtu......
Moja ya watu wenye matatizo makubwa kabisa kwa mwaka 2015 ni Wasira mwenyewe huko jimboni kwake maana kuna mtu alikuwa mpambe wake wakati wa uchaguzi uliopita lakini juzi naye naona kamruka na ndio maana alipata wakati mgumu sana hivi majuzi alipokuwa huko.2015 inakuja...wananchi ndio wataamua wampe ubunge mtu mwenye darala la kwanza la uchumi au vipi
Yes kwa sababu bosi wake hajawahi kupata A tangu azaliwe
Kuna kitu nimekiona kwa Wasira, ukikaa naye face to face mkalumbana politically humuwezi hata kwa namna gani. The guy is a real politician. Sikiliza kama ataongelea ile issue ya uchumi wa Africa kukua kwa average ya 2% (kama alivyosema yeye) wakati the least performed country ilikua kwa more than 3%. Hii hawezi kuisema kwasababu anajua alibugi
Hahahahaaaa kwani ilikuwa haitoi nafasi ya flexibility?Hiki ni kile kizazi kilichokuwa kinapalekwa kusoma siasa USSR na China enzi za miaka ile ya Chama Kushika Hatamu; na enzi hizo watu walikuwa wanapikwa kweli; unakuwa na imani na Chama kama ya dini; hata kuapa unaapa kwa Katiba ya Chama au ya JMT.
wassira kakataa kifo kinachotokana na wenye malori kuhujumu reli amewaambia wauze malori yao kwani mwakyembe anakuja kwa kasi kujenge reli ili reli zijengwe kuokoa barabara kutokana na mizigo mizito kama shaba au chuma ambavyo havibebwi na barabara....
amesema wenye malori wanataka kutuuwa kwa ajili ya faida yao kasema kifo hicho hakikubali wafe wao.
wassira kakataa kifo kinachotokana na wenye malori kuhujumu reli amewaambia wauze malori yao kwani mwakyembe anakuja kwa kasi kujenge reli ili reli zijengwe kuokoa barabara kutokana na mizigo mizito kama shaba au chuma ambavyo havibebwi na barabara....
amesema wenye malori wanataka kutuuwa kwa ajili ya faida yao kasema kifo hicho hakikubali wafe wao.
well said ......mzee wassira kawarejesha wapinzani kwenye mstari.
anasema kukopa sio kosa kosa ni namna unavyotumia mkopo, hata nyerere alikopo akajenga vyuo vikuu ambavyo sisi tumesoma na tunahitajika kulipa alichokopa mwalimu na sisi tukikopa tukajenga daraja kama la kigamboni na maragalasi hakuna matatizo vizazi vijavyo kulipa kwa maendeleo tuliwaletea.....akasema ni muhimu tukaangalia na kuzingatia mkopo unapelekwa wapi badala ya kuhamasisha kwamba tusikope na amekaataa kuelekeza mikopo kwenye vitafunio kwamba hilo ni kosa.
Amwambia kupata A hakuna maana ila namna gani unaitumia hiyo A .............
.Wassira ni kichwa kwa aliyotoka kumweleza zitto hivi punde kuhusu bajeti hata zitto anaonekana na wapinzani wako karibu kukubali..... tuendelee kufuatailia.
Mungu hawezi kukunyima sura na akili kumbe wassira kajaliwa akili.
wameanza kunyukana wao kwa wao tena??amwambia kupata a hakuna maana ila namna gani unaitumia hiyo a .............
.
Hana akili gan? Yakulala bungeni au kuongea kwa jazba, ana lolote
Nadhani ndio maana JK amemvuta karibu yake ili apate nondo zake za kumtia moyo