Wassira achukua fomu ya kuomba kuteuliwa Urais na CCM

Hivi ataenda kuijaza kweli hiyo fomu...? au ndo ataenda kuzima nayo home
wasira+chapa+usingizi+4%255B1%255D.jpg
3.jpg
WasiraSteve%281%29.jpg
images
images

Ataijaza na atapigiwa kura nyingi sana na Watanzania tulio wengi. ImageUploadedByJamiiForums1433341969.122776.jpg
 
Mbona hakuna namba za kadi ya mwanachama..Kwa sababu zisizoeleweka pasi na shaka haya majina ni feki

Na Mimi nashangaa kuona namba za simu badala ya namba ya uanachama!! Kwahiili hawako serious..
 
Huyu Bilal kama serikali wanayo iongoza imewashinda, sasa akiwa rais atatupeleka wapi. Hawa Ccm hawako serious. Tumechoka, timepigika vya kutosha. Kaeni pembeni waachieni wenye maono tofauti.
 
Back
Top Bottom