Wassira achukua fomu ya kuomba kuteuliwa Urais na CCM

aaaa..jamani huyu kweli ndo awe raisi wetu!!
Acha hizo kijana, kama unataka mzuri mkaribishe nyumbani kwako mkanywe naye kahawa. hebu kwanza tupe feedback za handsome mbali na haya maumivu yaliyopitiliza!
 
Yule mgombea ambaye hata kabla hajapitishwa na Chama Chake wameshagawana nchi ameahirisha kuchkua fomu leo na badala yake atachkua kesho. Hii ni kwa majibu wa mnyeti wangu wa ndani ya mfumo wake wa shati kufuatia kifo cha Mbunge wa Ukonga Eugene Mwaiposa ambaye alikuwa Mjumbe Wa kamati ya mambo ya nje ambayo yeye manvi ni mwenyekiti wake.
 
Waziri Wa kilimo Chakula na Ushirika ambae pia ni mbunge Wa Bunda tayari amepata wadhamini dakika Tano baada ya kuchukua fomu ambao wamemwini kuwa MKT Wao Wa CCM TAIFA AMBAE PIA NI AMIRI JESHI MKUU NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
 
Attachments

  • 1433330581168.jpg
    1433330581168.jpg
    40 KB · Views: 408
Acha hizo kijana, kama unataka mzuri mkaribishe nyumbani kwako mkanywe naye kahawa. hebu kwanza tupe feedback za handsome mbali na haya maumivu yaliyopitiliza!

handsome amefanikiwa kutupoteza uelekeo hata hatujui tunakoelekea...ila huyu anaweza kutupoteza duniani kabisa
 
Jamaniii hata yeye kaumbwa na Mwenyezi Mungu, aliyewapa nyinyi, ndiye kamnyima true.
Hapa hatufuati sura ni mtuw safi na utendaji wake sawa
 
Waziri Wa kilimo Chakula na Ushirika ambae pia ni mbunge Wa Bunda tayari amepata wadhamini dakika Tano baada ya kuchukua fomu ambao wamemwini kuwa MKT Wao Wa CCM TAIFA AMBAE PIA NI AMIRI JESHI MKUU NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mbona hakuna namba za kadi ya mwanachama..Kwa sababu zisizoeleweka pasi na shaka haya majina ni feki
 
handsome amefanikiwa kutupoteza uelekeo hata hatujui tunakoelekea...ila huyu anaweza kutupoteza duniani kabisa
Sio uatani aisee! Mimi mwenyewe mambo yote niliyopanga tangu asubuhi sioni kama kuna linaloenda na matokeo yake naishia hapa jf kama hivi! Nchi kipoteza mwelekeo na sisi wananchi tunapoteza mwelekeo pia.
 
Mbona hakuna namba za kadi ya mwanachama..Kwa sababu zisizoeleweka pasi na shaka haya majina ni feki
Magamba wanajinasibu kuwa wana wanachama milioni sita lakini naamini kifanyika sensa ya kweli basi sifuri moja inaweza kuondoka na kubakia wanachama 600,000 tu!

Kuna fununua toka mitaa ya Lumumba,

Nasikia Wassira ndio Rais ajae..kupitia ccm
 
Back
Top Bottom