Wasomi wetu wanatumia taaruma ya wapi

mandingo 94

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
270
190
Habar ndugu zangu kama kichwa cha Habari kinavyo heleza hapo juu mim ni mfugaji mdogo sana hapa dar es salaam nakutana na changamoto nyingi sana nashanga wasomi wetu wa SUA cjui wapo wapi najishugurisha na ufugaji wa sungura na kilimo cha mboga mboga tuje kwe hoja.

Sungura. Anaitaji chakula cha kutosha kila siku katika urafiki wangu mdogo nimengundu sungura anapenda kabichi na spinachi sas tabu nayo ipata nilienda soko ilala nakutana na mboga nyingi nazichuwa sas zikikaa siku mbili zinaaza kuaribika wasomi wetu mbona hawatusaidii hapa watufundishi jinsi ya kusindika ili zi sialibike.

Bustani nahitaji kulima kilimo cha mboga mboga nyumbani kwa njia ya hydroponic vegetables sas kupata hayo mabomba na vituvingine WASOMI NJOO MTASAIDIE HUKU
 
Back
Top Bottom