Nipo katika mazingira ambayo huwa naona kazi za hawa vijana wa chuo kikuu cha DSM mara kwa mara. Kiukweli misingi yao ya kielimu ni mibovu. Assinment wanazopewa huwa wanapata shida sana kuzijibu kiufasaha, hasa kiingereza kinapohusika. Kiingereza chao ni kibovu mno. Aghalabu sisi wabongo huwa tunajua zaidi kingereza cha kuandika kuiko cha kuongea, lakini kwa hawa vijana wetu ni tabu tupu. Huwa najiuliza hao walimu wao wanaposoma kazi zao huwa wanakuwa katika hali gani.
NB: Nami pia ni alumni wa UDSM
you said it right huwezi kuwa udsm alumni halafu ukaja na hoja ya kijinga kama hiikuna asilimia kubwa haujasoma udsm, ulitamani kusoma udsm ukanyimwa nafasi na una bifu na udsm. Kwa taarifa yako, ile cream ya juu kwenye matokeo ya form six tz ndio huwa inaenda udsm, huko kwingine utawakuta division kuanzia three na kuendelea. Jiulize why ninyi mnaojifanya kujua kiingereza hamkupata division one form six? Acha kuchukia chuo bora tz bwana.
you said it right huwezi kuwa udsm alumni halafu ukaja na hoja ya kijinga kama hii
mleta mada kaja na hoja nyepesi eti kingereza shida kwa udsm alumni je hao hao udsm alumni ndo cream ya taifa academically, hao wengine huko ccm wamekuwa deviant kwa sababu ya socialization process ndani ya ccm.hivi na hii 'cream' ya ccm si zao la udsm? Tatizo mmebaki kwenye kingereza tu. Mbona mada inajieleza? Mweleweni mleta mada
Kiukweli
.Immibokvu
....Assinment
kingereza cha kuandika kuiko
Mkuu kuto kujitambua na kutambua Hali ya Dunia kwa sasa inakwendaje, kuendeza starehe wanapokuwa vyuoni.
Luck of attitude to success also is the reason.
kuna asilimia kubwa haujasoma UDSM, ulitamani kusoma udsm ukanyimwa nafasi na una bifu na udsm. kwa taarifa yako, ile cream ya juu kwenye matokeo ya form six tz ndio huwa inaenda udsm, huko kwingine utawakuta division kuanzia three na kuendelea. jiulize why ninyi mnaojifanya kujua kiingereza hamkupata division one form six? acha kuchukia chuo bora tz bwana.
kama wale wa udsm waliofaulu kuliko wale wa vyuo vingine form six, itakuwaje kwa wale waliokuwa wanawaburuta mkia wakadondokea division three?Usiwe defensive mkuu. Kutojua kingereza ni janga la kitaifa kama vile wa-tz wengi wasivyojua hisabati/hesabu. Hata kama wanafunzi wa udsm wengi wana division one form six, lakini kiingereza cha kuongea na kuandika ni tatizo kubwa. Na sio wao tu ni vyuo vyote, hata baadhi ya viongozi serikalin kingereza chao cha kuungaunga. Hata walimu huko mashuleni ni shida tupu.
Tunahitaji mbinu mbadala kuboresha ufahamu wa lugha ya kiingereza
hilo neno "luck" ulitaka kumaanisha "lack" au mimi sijakuelewa hapo!?
Nipo katika mazingira ambayo huwa naona kazi za hawa vijana wa chuo kikuu cha DSM mara kwa mara. Kiukweli misingi yao ya kielimu ni mibovu. Assinment wanazopewa huwa wanapata shida sana kuzijibu kiufasaha, hasa kiingereza kinapohusika. Kiingereza chao ni kibovu mno. Aghalabu sisi wabongo huwa tunajua zaidi kingereza cha kuandika kuiko cha kuongea, lakini kwa hawa vijana wetu ni tabu tupu. Huwa najiuliza hao walimu wao wanaposoma kazi zao huwa wanakuwa katika hali gani.
NB: Nami pia ni alumni wa UDSM
Usiwe defensive mkuu. Kutojua kingereza ni janga la kitaifa kama vile wa-tz wengi wasivyojua hisabati/hesabu. Hata kama wanafunzi wa udsm wengi wana division one form six, lakini kiingereza cha kuongea na kuandika ni tatizo kubwa. Na sio wao tu ni vyuo vyote, hata baadhi ya viongozi serikalin kingereza chao cha kuungaunga. Hata walimu huko mashuleni ni shida tupu.
Tunahitaji mbinu mbadala kuboresha ufahamu wa lugha ya kiingereza