kuna asilimia kubwa haujasoma UDSM, ulitamani kusoma udsm ukanyimwa nafasi na una bifu na udsm. kwa taarifa yako, ile cream ya juu kwenye matokeo ya form six tz ndio huwa inaenda udsm, huko kwingine utawakuta division kuanzia three na kuendelea. jiulize why ninyi mnaojifanya kujua kiingereza hamkupata division one form six? acha kuchukia chuo bora tz bwana.Nipo katika mazingira ambayo huwa naona kazi za hawa vijana wa chuo kikuu cha DSM mara kwa mara. Kiukweli misingi yao ya kielimu ni mibovu. Assinment wanazopewa huwa wanapata shida sana kuzijibu kiufasaha, hasa kiingereza kinapohusika. Kiingereza chao ni kibovu mno. Aghalabu sisi wabongo huwa tunajua zaidi kingereza cha kuandika kuiko cha kuongea, lakini kwa hawa vijana wetu ni tabu tupu. Huwa najiuliza hao walimu wao wanaposoma kazi zao huwa wanakuwa katika hali gani.
NB: Nami pia ni alumni wa UDSM
na wewe pia unawaponda udsm kuwa ni wabovu wa kimombo?...Mkuu kuto kujitambua na kutambua Hali ya Dunia kwa sasa inakwendaje, kuendeza starehe wanapokuwa vyuoni.
Luck of attitude to success also is the reason.
nakubaliana na wewe. unajua mtu ambaye haelewi huwa hajijui kuwa haelewi yeye huwa anaamini kuwa anaelewa kuliko wengine wote. ila wale walio karibu naye ndio wanaweza kumtathimini. hivyo, yeye pia anatakiwa apate third party opinion juu ya uelewa wake kama kweli kutakuwa na mtu honest anayeweza kuwa na ujasiri wa kumwambia ukweli hata kama mchungu. ila kuna dalili za chuki dhidi ya udsm kasababu hakupata bahati ya nafasi kusoma udsm. iyo ameionyesha wazi.usijejikuta wewe ndiyo problem uelewa wako mdogo ..... au kweli wanafunzi tatizo ...
kwa sababu unawapima kupitia uelewa wako wewe na unachojua wewe..
kila jambo linaweza ongozwa kihisia au kiakili.. ukitumia hisia lazama uongee bila data .. mimi sikubaliani nae wala simpingi ila nataka tu asiwe bias asije jikuta yeye uelewa wake mdogo .....nakubaliana na wewe. unajua mtu ambaye haelewi huwa hajijui kuwa haelewi yeye huwa anaamini kuwa anaelewa kuliko wengine wote. ila wale walio karibu naye ndio wanaweza kumtathimini. hivyo, yeye pia anatakiwa apate third party opinion juu ya uelewa wake kama kweli kutakuwa na mtu honest anayeweza kuwa na ujasiri wa kumwambia ukweli hata kama mchungu. ila kuna dalili za chuki dhidi ya udsm kasababu hakupata bahati ya nafasi kusoma udsm. iyo ameionyesha wazi.
Mkuu kuto kujitambua na kutambua Hali ya Dunia kwa sasa inakwendaje, kuendeza starehe wanapokuwa vyuoni.
Luck of attitude to success also is the reason.
Hahahaa hata mi nimekuja mbio, kuangalia picha hola!!Jukwaa la picha, weka picha basi tuone.
Sahihisha kwanza hizo halafu utuelezee uzima wako wa kiingereza uko wapi??Nipo katika mazingira ambayo huwa naona kazi za hawa vijana wa chuo kikuu cha DSM mara kwa mara. Kiukweli misingi yao ya kielimu ni mibovu. Assinment wanazopewa huwa wanapata shida sana kuzijibu kiufasaha, hasa kiingereza kinapohusika. Kiingereza chao ni kibovu mno. Aghalabu sisi wabongo huwa tunajua zaidi kingereza cha kuandika kuiko cha kuongea, lakini kwa hawa vijana wetu ni tabu tupu. Huwa najiuliza hao walimu wao wanaposoma kazi zao huwa wanakuwa katika hali gani.
NB: Nami pia ni alumni wa UDSM
kuna asilimia kubwa haujasoma UDSM, ulitamani kusoma udsm ukanyimwa nafasi na una bifu na udsm. kwa taarifa yako, ile cream ya juu kwenye matokeo ya form six tz ndio huwa inaenda udsm, huko kwingine utawakuta division kuanzia three na kuendelea. jiulize why ninyi mnaojifanya kujua kiingereza hamkupata division one form six? acha kuchukia chuo bora tz bwana.
Dah! nashukuru kwa majibu mazuriwe ni zaid ya mchawi. et cream zote zinaenda UDSM . ila utakua ni mtoto wa first yeah bado una ujinga wa kichuo.
apo UDSM kuna koz zote za afya? engineering na zinginezo?
udaktar wa muhimbili na KCMC UDSM hamuingii.
computer science na education UDOM wanawakimbiza sana.
tourism, agricultural, and enviromental courses SUA wako juu.
maswala ya economic,accounts Mzumbe wako poa sana.
UDSM Mpo vizur sana kwenye law
Luck or Lack??? Sikubahatika kufika chuo kikuu lakini nafahamu kuna vigezo vingi mbali na lugha vinatumika kupima umahiri wa mwanafunzi. Kuna wale wa fani za uhandisi huko tokea o'level kiingereza chao ni CONSIDER, TAKE a EQUALS TO b,GIVEN x IS CONSTANT n.k leo hii unampatia aandike essay ya somo wanaita DS kama sikosei halafu eti utumie ufanisi katika kiingereza kama kipimo,shame on you!!!
mmh naona umejiandaa kubishanaUmeandika nini? Au na wewe ni zao la UDSM 'cream?'
Kuwa na uwelewa ni pamoja kujua jambo gani linatakiwa liwe eneo gani.Hahahaa hata mi nimekuja mbio, kuangalia picha hola!!