Wasomi wetu! Na hapa ndio tulipofikia!

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,108
37,644
Inasikitisha sana!
IMG-20181031-WA0004.jpg
 
utotoni nliwahi kusali mvua inyeshe nisiende sunday school,ah ah nlipofika darasa la 4 tu nlipokunbuka nljiona mpuuzi sana.
 
Ukute Lecture room imetulia na Lecturer ni muhaya au Mganda...utapata shida sana
Lkn wakuu mmenikumbusha madame Anjelina Joseph hahahahahahahahahahaaaaa! Kwa lafudhi ya kichagga "mwalimu hapo hujaongea kitu"
 
hapo mvua kali tena ya mawe na upepo, maana umeme lecturer anaweza sema tunaendelea bila projector
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom