foyo mwalongo
Member
- Sep 6, 2015
- 46
- 6
Mtazamo wako tu
Siku akikataa kupelekeshwa na siasa za kichuuzi za Mbowe, vijana wa Bavicha wote watakuunga mkono kuwa Lissu hana thamani. Kipimo cha thamani Chadema ni Mbowe...
Huwezi kumkubali kila mtu...hata machangudoa kuna wengine huwakatalia!
Katika maisha yangu sijawah kumkubali Lissu, huwa naona kama analowesha mic tu. Fuatilia alivyokuwa anajichanganya katika masuala mbalimbali, wakati wa escrow na bungeni.
Pia anajiona anaweza huku ana weakness nyingi sana. Amefumbia macho ufisadi ndani ya chama, taratibu anashiriki kuzikiuka na kuziharibu, mtu akihoji anakaa kimya. Kama mwanasheria wa chama, hafai!

Ukishaandika vitu kama hivyo, hasa pale inapokuwa ni mtazamo ambao unao peke yako, siyo mbaya ukamaliza na "in my opinion"!
Otherwise ni vizuri ukajua kuwa kwa mtazamo wangu, ambao unaungwa mkono na wengi, Lissu ni mwnasheria makini, anayejua anachofanya. Ana uwezo mkubwa kisheria kuliko wanasheria wote wa serikali niliowahi kuwafahamu na amekuwa na mchango remarkable katika bunge na nje ya bunge.
Achana na Lissu mpendwa, hata wewe una weakness zako kibao. Nazo hazituhusu. Tujadili maendeleo yetu siyo tabia za watu binafsi!
Wasomi watanzania wamezidi kuonyesha jinsi gani si watu wenyemisimamo bali ni wachumia tumbo. Nikimuangalia Lissu (kama mfano) ambaye alikuwana misimamo imara dhidi ya dhuluma na ufisaditangu wakati ule akifanya kazi za uwakili kwa weledi mkubwa. Lissu kesi zakezote (kama si nyingi) alikuwa akiwatetea wanyonge.
..........................................
Katika maisha yangu sijawah kumkubali Lissu, huwa naona kama analowesha mic tu. Fuatilia alivyokuwa anajichanganya katika masuala mbalimbali, wakati wa escrow na bungeni.
Pia anajiona anaweza huku ana weakness nyingi sana. Amefumbia macho ufisadi ndani ya chama, taratibu anashiriki kuzikiuka na kuziharibu, mtu akihoji anakaa kimya. Kama mwanasheria wa chama, hafai!
Kama usomi ungekuwa ndio ubora wa mtu kuwa kiongozi tungejuvunia kuwa na mwanasheria mahili kama chenge.
Tundu lissu aliposema kuwa ubunge umemfanya kuwa maskini nikagundua kuwa hana tofauti na makinda aliyewahi kutoa kauli kama hiyo wakati sio kweli.
Wasomi watanzania wamezidi kuonyesha jinsi gani si watu wenyemisimamo bali ni wachumia tumbo. Nikimuangalia Lissu (kama mfano) ambaye alikuwana misimamo imara dhidi ya dhuluma na ufisaditangu wakati ule akifanya kazi za uwakili kwa weledi mkubwa. Lissu kesi zakezote (kama si nyingi) alikuwa akiwatetea wanyonge.
Ingawa watu hawajui hili,pamoja na uzuri wake, Lissu alikuwa hashindi sana kesi, kwa maana nyingine,hakuwa na rekodi nzuri ya kushinda kesi. Alipokuwa mwanasiasa Lissu aliendeleana msimamo wake dhabiti dhidi ya ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Wazunguwanasema alikuwa CONSISTENT siku zote. Mara ghafla Lowasa amekuja, sijui ninini Lissu kimemtokea.
Kama mtu ninayemjua binasfi, kati ya watu niliotegemea wangepingahili au kwa manufaa ya chama angekaa kimya au kujiondoa kwa heshima, Lissualikuwa mmoja wapo. Lakini kwa bahati mbaya, yeye hakufanya hivo.
Naheshimumaamuzi yake, lakini swali langu ni maamuzi haya ya kigeugeu, yakubadilikabalidilika yanaleta sura gani kwa wasomi wetu? Namchukulia Lissu kama mfano wawasomi wetu ambao hawana misimamo, hasa kwenye mambo ya msingi.
Kamamwanasiasas msomo hujiwakilishi wewe tu, unawakilisha familia yako, tabakalako, jimbo lako, kabila lako, profession yako n.k. Sasa huyu wakili msomi amejalitumbo lake na AHADI ZA KUWA WAZIRI WA SHERIA. Ndiyooo.. Lissu anategemea iwapoLowassa atashinda (MWENYEZI MUNGU TUEPUSHE NA HILI) basi yeye atakuwa waziri washeria. Je mtu unaweza kuwa mbinafsi kiasi kichi?
Lissu kwa ujumbe huu, nataka nikuambie umeibaka professionyako na ni aibu kwa TLS. Wewe ni mtu mbabaishaji, hueleweki, kigeugeu na zaidi yayote huaaminiki tena. Silaha kubwa ya wakili yoyote ukiacha elimu yake, nilazima awe mtu anayeaminika. Sasa kwa haya aliyofanya Lissu anaaminika tena?

Soma tena nilichoandika. Mimi siongei mambo ya Richmond- ndio tatizo lenu mnasoma lakini hamchambui. Mimi nimeongelea misimamo yake na kile anachoamini. Penda kwa kiasi.