Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Anayewatuma(ga) hawa madogo kuzungumza kwenye issue serious kama hizi ni kwamba huwa hawajui kama wanajichoresha au? Kwenye issue nzito za kidiplomasia wao wanaongea kama wamekatwa vichwa vile
===
Katika Kongamano la wanavyuo mkoa wa Dar es Salaam wameungana na kudai Wakili kutoka Kenya Martha Karua ni mmoja aliyesababisha machafuko nchini kenya hvyo hawamtaki kuja nchinj Tanzania kuleta machafuko.
"Kuna mwanamama, sijui niseme mbibi wa huko nchi ya jirani anaitwa Martha karua. Huyu bibi au huyu mama alisababisha vifo vya watu wengi kwenye nchi yao ya Kenya 2007 kwenye uchaguzi. Leo hii amesikia ajenda ambayo mimi na mwenzangu tunaiita ajenda mpeche mpeche isiyokuwa na maana ya No reform No election, ametimka kutoka kwake anataka kuja Tanzania kutuchochea sisis Watanzania. Sasa sisi tunamwambia mama yetu Martha Karua abaki kwake, ya Tanzania ni ya Tanzania. Sisi kama wasomi wa Tanzania tunapenda nchi yetu tunapena amani ya nchi yetu"