Wasomi Tunaifanyia nini Tanzania?

hKichaka

Senior Member
Apr 23, 2011
199
19
Wasomi wa Tanzania jamani tuamke tuiomboe nchi yetu na umasikini uliodhiri na ufisadi wa kila aina.
 
Wasomi wa Tanzania jamani tuamke tuiomboe nchi yetu na umasikini uliodhiri na ufisadi wa kila aina.

Ulimaanisha ''tuiombee''?? au ''tuikomboe''?? kama tuiombee nadhani sio jukumu la wasomi peke yao, watu wote, watz na wasio wa-tz.
Kama ni tuikomboe...basi wasomi inabidi tuwe front-line kulitekeleza!!,lakini hapa kwetu hii nikinyume chake,waliosoma ndio wanajishibisha matummbo yao kwanza wakimwacha hohehape akibanwa/akitokwa na mbavu tu!!

Rejea hii katuni:
View attachment 29698
 
Back
Top Bottom