Wasomi nisaidieni

Wasomi nisaidieni

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Kuna maneno kuhusiana na elimu yananisumbua kidogo kujua maana yake.

Shahada, astashahada, shahada ya uzamili,shahada ya uzamivu na mengine yanayofanana na hayo.

Kwa anayejua maana yake atuwekee.
 
Astashahada- Certificate
Stashahada-Diploma
Shahada- First Degree
Shahada ya Uzamili- Masters
Shahada ya Uzamivu- PhD
 
astashahada= certificate
stashahada= diploma
shahada=degree
shahada ya uzamili= masters
shahada ya uzamivu=phd
kama sijakoaea
Hujakosea. Kuna stashahada ya uzamili ambayo ni post graduate diploma pia na stashahada ya juu ni advanced diploma
 
Masters inaitwa shahada ya umahiri pia.
 
Astashahada- Certificate
Stashahada-Diploma
Shahada- Bachelor Degree
Shahada ya Uzamili- Master Degree
Shahada ya Uzamivu- PhD
 
nitakuwa mtovu wa nidhamu kama sitawashukuru wote mliochangia na kunielewesha,nawashukuru wote kwa pamoja na Mungu awape moyo wa kuendelea kusaidia wengine
 
Back
Top Bottom