Msaa machache baadae, Yule kijana asiye msomi akamwamsha yule msomi na kumwambia:Āangalia angani na niambie nini unaona ?Ā
Jamaa mwenye PHD akajibu:ĀNaona mamilioni ya nyota na mbalamweziĀ Yule kijana asiye msomi tena akauliza ĀUnajifunza nini ukiona hivyo?Ā
Yule msomi akatafakari kwa dakika kadhaa kisha akajibu:
Ākiunajimu inaonyesha kuwa kuna fursa nyingi sana katika hii dunia kwetu wanadamu.
Kwa upande wa muda inaonyesha ni usiku wa manane na pia kwa upande wa imani inadhihirisha kuwa Mungu ni muweza wa vyote na sisi kwake ni viumbe wadogo sana na tusio na mamlaka.
Kwa upande wa wanahewa ni kwamba kesho itakuwa siku nzuri sana. Kwa upande wako wewe inakuambia nini?Ā
Yule jamaa asiye msomi akakaa kimya kwa muda na kisha akasema: ĀKiuhalisia Ā Ā Inaniambia mimi kuwa Ā .ĀHema letu limeibiwa!![/QUOTE]