Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

Huyu ndiye aina ya Rais aliyekuwa anahitajika ktk nchi hii toka miaka 20 iliyopita,ungekuta leo hii haya tunayoyaona ni historia,Lowasa ni mpango wa Mungu tusifanye makosa watanzania wenzangu

Aina ya rais anayedanganya elimu bure? Hizi ni ahadi kwa simple minds
 
Elimu bure sio kitu kigeni.tanzania ya mwalimu iliweza na ikajenga viwanda vingi.tanzania baada ya mwalimu ikaua elimu na kuuza kila kitu.kibaya zaidi ikaaminisha watu serikali haiwezi kusomesha watoto wa maskini kwa shinikizo la wazungu ili wakishirikiana na wazungu watuibie vizuri.kama huamini umuhimu wa elimu kutolewa bure kwenye nchi ya kwetu ya watu maskini hivi ni afadhali nchi hii isowepo maana hakutakuwa na maendeleo
 
Tumia nauli na kichinjio kuisambalatisha ccm kabsa
 
mimi hapa ni kama 10 million kwa kupiga kura tu siwezi kufanya kosa ,ila usiende mwenyewe nenda na ndugu zako ili uhakika uwepo maana
 
mimi hapa ni kama 10 million kwa kupiga kura tu siwezi kufanya kosa ,ila usiende mwenyewe nenda na ndugu zako ili uhakika uwepo
 
Mzee Mwanakijiji tunahitaji episode ya 3.
Pia huku nilipo watu wanaandamana walalamika kuwa dakika 10 hazitoshi...kila episode iwe na zaidi ya dakika 50

Siku zote muongo waga nimsemaji sana ila mkweli waga sio msemaji, tunataka maneno machache na mamuz magum yanayotekelezeka kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…