Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

Magufuri sijaona ahadi inayonihusu sasa nitaenda kupigia atanisaidiaje' ,

lowassa ni nomaaa kweli huyu ni chaguo la mungu......namkubali maana hata siasa za kimataifa anaonekana kua safi....kura yangu na familia kwa ujumla ni yake,,,,,
 
Nitatangaza nimesamehewa Deni. La jumla ya Tsh 8,000,000/= tarehe 25 October asubuhi kabisa kwa kumpa KURA YANGU LOWASA.

CCM wasitudanganye eti lowasa hawezi fanya wakati wanapiga mabilioni kila siku, UTAJIRI wa riz one waweza somesha Darasa la kwanza mpk la nne kwa miaka mi5, ni wakati wakurpoza machungu kwa KODI zetu wanazoficha Ulaya nakuita VIJISENTI.

LOWASA NEEMA INAKUJA TANZANIA.
 
Watanzania tutakuwa wajinga tukiipuuza hii furs a ya elimu ya bure,wazazi na watoto wenyewe watakuwa wamepunguziwa mzigo mkubwa na kurahisisha maisha
 
LOWASSA NDIYE ANAYESTAHILI KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO,anatoa ahadi zinazotekelezeka kabisa na sii kama HAWA WENGINE WALIOZOEA KUTOA AHADI ZA UONGO.Hakika tutampigia kura keshokutwa.
 
lowassa ni nomaaa kweli huyu ni chaguo la mungu......namkubali maana hata siasa za kimataifa anaonekana kua safi....kura yangu na familia kwa ujumla ni yake,,,,,

Labda miungu yenu ila fahamu kwamba Chaguo sahihi la Mungu na la Watanzania wote ni Magufuli. Kura yangu na kura za ukoo wangu wote ni kwa Magufuli.
 
Lowassa ndio mtu anayestahili kuchaguliwa kuwa rais wa TZ.
 

Duh! kweli watu mna mahaba na fisadi Lowasa!

Mkuu kwanini unanizalilisha hivi, umequote post yangu nakuingiza maneno yako. Unayoyafanya siyo uungwana, tunatakiwa kuvumiliana hata kama hukubaliani na ninayoyaamini
 
wow. ..! hw iz it a truth magic. just imagine una deni last mamilion then linafutika in few minutes by writing Edward Lowassa, unaliacha deni kama mfungwa aliyemaliza muda wake vle anavyoliacha gereza. hata wasomi mlango wa kutokea ndo huo Mabadiliko kwanza then Kazi inafuata.
 
Una laana weee. Norway, libya ya ghadafi,etc ni baadhi tu ya nchi zinazotoa elimu bure based on oil exports only. Tanzania ina kila kitu, isipokuwa uongozu makini tu ndio umekosekana. Lowasa na UKAWA wanaonyesha kuwa the impossible is possible so myie mlioshindwa pisheni wapite. Kelbu
 
Labda miungu yenu ila fahamu kwamba Chaguo sahihi la Mungu na la Watanzania wote ni Magufuli. Kura yangu na kura za ukoo wangu wote ni kwa Magufuli.

Si bure lakini una ugonjwa wa akili wewe. Chaguo lako wewe na mafisadi wenzako ndio gufuli lakini sio wa Tz wote. Pia mungu wenu mungu moto/mwenge alieitwa molech tangu enzi za kale bado mnamthamini eh.
 
Huyu jamaa watu wa HAZINA,BOT PPF,NSSF,na HESLB watamcheka ka katuni huenda hajui ata cashflow na thamani ya fedha(iliyokopwa) labda kama atauza gesi na mbuga kwa rafiki zake! ambapo bado ni hasara kwetu!,lipa mkopo wewe log in economics_no free lunch@peoplefacetradeoff.budget deficit kwenye medula uone anayokudanganyeni kisa emotionally you bear the cost of the past money to blow ikiwepo boom boom hahaha
 

Unaijua nchii hiii????
 
Wasomi wanajitambua kura zao ni kwa Magufuli. Kwa hiyo ww unaposema kwamba wasomi mmesha amua nawashangaa lbd kama ni wasomi wa kughushi vyeti.

mambumbumbu na msiokuwa na future ndo mtabakia ccm kwa sababu mnaamini kuwa hali ngumu na mateso mnayoyapata katika kusomesha watoto wenu nihaki yenu kuyapata.
 

ndo shida yenu, full kukurupuka utadhani mnabalehe! Ndo maana mnalilia vitu mzivovijua, hamna kitu kichwani
 
Lowassa anampa shida magufuli kila anachoaahidi lowassa na magufuli anaahidi bila kujua wadhamini wanasubiri tenda za bure.kura yangu ni lowassa tu
 
Wasomi msirubuniwe.huu uzi ni wongo mtupu.Magufuli ndiye anayetufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…